The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Wakenya wote wangependa kuwa Watz.
Wakenya wote wangependa kuwa Watz.
Gharama za kuendelea na hiyo mikataba ni kubwa zaidi, mtaji wa hao economic hitmen ni sisi kufuata hizo sheria zao ili wao waendelee kuwa na upper hand.kuna sheria huitaji kufuatwa kuepuka haya tunayopitia!
BRT ya kimara hadi kibaha hakutakuwa na structure kubwa ya kituo katikat ya barabara.. bali kutakuwa na hio standing/boarding platform hio iliyopo katikat ili watu wapande kwenye mabus. Kila palipo na kituo barabara ya kawaida, kuna hio platform ya BRT. Thou, It is the worst and dangerous designNini kinatendeka hapaView attachment 2705398
Waache ujinga, waweke footbridge alafu katikati waweke ngazi abiria wanaopanda washuke kwenye ngazi waingie kwenye basi na wanaoshuka wapande ngazi waondoke kupitia bridge.BRT ya kimara hadi kibaha hakutakuwa na structure kubwa ya kituo katikat ya barabara.. bali kutakuwa na hio standing/boarding platform hio iliyopo katikat ili watu wapande kwenye mabus. Kila palipo na kituo barabara ya kawaida, kuna hio platform ya BRT. Thou, It is the worst and dangerous design
Mwendo wa maokoto tu.
Downtown Slum CapitalDowntown African capitalView attachment 2704612View attachment 2704613
Downtown Slum Capital
, halafu kila kitu nusu nusu hadi Hizo sidewalk
Kwanini wasifanye lane za pembeni zilizo karibu na kituo ndo ziwe za BRT alfu lane zote zingine including za kati ziwe za magar, za kati infact zinaweza kuwa za express cars zisizo hitaji kukatisha from Kimara to KibahaBRT ya kimara hadi kibaha hakutakuwa na structure kubwa ya kituo katikat ya barabara.. bali kutakuwa na hio standing/boarding platform hio iliyopo katikat ili watu wapande kwenye mabus. Kila palipo na kituo barabara ya kawaida, kuna hio platform ya BRT. Thou, It is the worst and dangerous design
Jamaa wababaishaji kinomaHadi magari yamepark Ki slum slum, halafu kila kitu nusu nusu hadi Hizo sidewalk
View attachment 2705591
View attachment 2705593
View attachment 2705594






Hawa watu wanaipenda sana Tanzania kutoka rohoni, ni hivyo tu Tanzania haina mpango ns uraia pacha 😂😂😂Wakenya wote wangependa kuwa Watz.
Nimetoka kuangalia trendy yao youtube ngoma 15 kati ya 20 zinazotrend ni za Tanzania 😂😂😂Wakenya wote wangependa kuwa Watz.
Huoni hiyo ni zebra crossing?Nini kinatendeka hapaView attachment 2705398