Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Relationship inahusika vp hapo?
Kama Mimi na wewe ni maadui, utapenda mke wako, ndugu zako au marafiki zako wawe na mashirikiano au ukaribu na Mimi?, kuwa mkweli usiwe mnafiki, hiyo ndio maana ya "relationship".

Mahusiano yanahusisha "Social boundaries" zaidi. Kwa kumzuia mtoto wako au jamaa zako wa karibu kwenda kucheza, kuzungumza au kuwa katika kundi Moja na watu au jamaa ambao unadhani sio watu sahihi ki maadili na matendo yao, hakuna Uhusiano wowote na demokrasia.

Mbona dini zetu zinakataza kufunga ndoa na watu wenye dini tofauti na sisi, mbona husemi sio demokrasia?. Vipi kuhusu serikali ya Zanzibar kuzuia wanaume kusuka nywele, hiyo ni demokrasia?.
 
Kama Mimi na wewe ni maadui, utapenda mke wako, ndugu zako au marafiki zako wawe na mashirikiano au ukaribu na Mimi?, kuwa mkweli usiwe mnafiki, hiyo ndio maana ya "relationship".

Mahusiano yanahusisha "Social boundaries" zaidi. Kwa kumzuia mtoto wako au jamaa zako wa karibu kwenda kucheza, kuzungumza au kuwa katika kundi Moja na watu au jamaa ambao unadhani sio watu sahihi ki maadili na matendo yao, hakuna Uhusiano wowote na demokrasia.

Mbona dini zetu zinakataza kufunga ndoa na watu wenye dini tofauti na sisi, mbona husemi sio demokrasia?
Hvi mm nikiwa na ugonv na ww je nitataka niwe na ugonv na familia yako yote? ww huon kama hii dunia ni huru kwann mtu anipangie marafiki wakua nao na wale sitokua nao? Sio mm ndio natakiwa nichague mwenyewe yupi niwe na urafiki na yupi nisiwe na urafiki au bado tupo kwenye ukoloni??😅😅😅
 
Clean Streets , Hot Rides

IMG_8890.jpg

IMG_8892.jpg

IMG_8891.jpg
 
Back
Top Bottom