Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nataka ujue kwamba Tanzania is 3 times worse than Zimbabwe. Puga🤣🤣🤣🤣🤣🤣

As of 2022, nearly 26 million people in Tanzania lived in extreme poverty, with the poverty threshold at 1.90 U.S. dollars a day. Roughly 100,000 people were pushed into poverty compared to 2021, possibly a remaining effect of the coronavirus (COVID-19) pandemic.
Naona kipcoco kipreborn huchoki🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wacha nicheke yani kuambiwa zimbabwe wanaafadhali pamoja na infalation ya 101%

Naona umekuja kumwaga povu la kwenda mbona haikutajwa tanzania ikatajwa kenya au world bank ni wajinga 😅😅😅😅😅

World bank hawaezi kulinganisha Zimbabwe na nchi yenye 26 million extremely poor people.
 
Nataka ujue kwamba Tanzania is 3 times worse than Zimbabwe. Puga

As of 2022, nearly 26 million people in Tanzania lived in extreme poverty, with the poverty threshold at 1.90 U.S. dollars a day. Roughly 100,000 people were pushed into poverty compared to 2021, possibly a remaining effect of the coronavirus (COVID-19) pandemic.
Lakini WB hawajasema hivyo wala sijaona any report from a reputable institution ikisema hivyo apart from WB report that says "Kevya is worse than Zimbabwe "
 
Lakini WB hawajasema hivyo wala sijaona any report from a reputable institution ikisema hivyo apart from WB report that says "Kevya is worse than Zimbabwe "
Boss, sio kila kitu ufanyiwe, tafuta extreme poverty yenu alafu ulinganishe na ya zim utangundua you are doing worse by 3 times hehe
 
Egypt, Argentina,Turkey have higher inflation but are donating food and money to tanzania.

Tanzania extreme poverty 26million
Zimbabwe extreme poverty 7million
Yani kunachonishangaza ni world bank kuitaja kenya na sio tanzania y?? Na kwann nchi yenye inflation 256% ina afadhali kuliko kenya 🤣🤣🤣🤣

Ila world bank walichokifanya sio sawa
 
Back
Top Bottom