Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We know all how it will end, refer back to the issue of foreign currency reserves and port. Roho chafu kuanzia rais mpaka mkaazi wa chini

Kenya has never been in competition with Danganyika i dont know why she keeeps referring to us as "nchi jirani" when Tanzania has many neighbours
 
Kenya has never been in competition with Danganyika i dont know why she keeeps referring to us as "nchi jirani" when Tanzania has many neighbours
Kuongozwa na mwanake ni mbaya Sana, mood swings kidogo anaanza kuhara na mdomo
IMG_20230720_121114.jpg
 
Hivi Kenya Hakuna wazee wenye hekima na busara wa kuweza kuwakalisha chini Raila na Rutto?

Hivi Kenya Hakuna akina mama waombolezaji, mbona mambo mnayaacha yaende namna hii.?

Msipoziba ufa wakati wa amani;mtajenga ukuta huku mkiomboleza.

Ni ushauri tu wa mtu mjinga.
Hao wazee watatoka kabila gani? Nchi ikishakuwa na ukabila kama ilivyo kwa Kenya usitegemee kwamba kuna muafaka wa kisiasa utapatikana kutokana na wao wenyewe. It is only the international community that can help to reduce political tensions through round table negotiations!
 
Odinga anataka washee ugali kwa meza na Ruto. Pia mashakahola yanataka ugali kwa meza . Remember in Kenya if you are not a politician then no ugali utakuwa ni mtu wa mlo mmoja wa kubahatisha makazi kibera, mathare, ukiwa na afadhali kidogo pipeline
Ninashangaa kitu kimoja, wakati wa Uhuru hawakutaka kushare ugali kwa meza.Sasa why kipindi cha Rutto ndio wameona huyu wanatakiwa kushare naye ugali?

Maisha yamepandaje kiasi hicho hadi wakose uvumilivu. Gharama za maisha ziko juu kwa kila nchi;na sasa hivi zitapanda pia maana Russia kajitoa kwenye makubaliano ya usafirishaji wa nafaka na Ukraine, tena jana kashambulia ghala la nafaka la Ukraine katika mji wa Odessa na kuharibu takribani tani 60000 za nafaka, shakahola watasemaje hapa?
 
Hizo uniform za police kenya kwa kweli walichemka sana. Hzo zilitakiwa kuwa za jeshi (KDF). Kwa mgeni akifika Kenya kwa mara ya kwanza akawaona hao police atadhani ni wanajeshi. Uniform za police zinatakiwa kuwa plain bila mabaka mabaka. Kusema ukweli sijawahi kupenda hizo uniforms za police wa Kenya zinaoonekana mbaya na kwa wengi wa police zinonekana ni oversize.
Ngoja sasa uwasikie wanavyojisifia kwa kuanza na the most,...beautiful, expensive n.k in East and Central Africa.
 
MY TAKE
Hawa si tuwauzie na mapanga kabisa? Ila mama naye afunge mdomo wake, asiwaamshe waliolala!
Na wakianza kukatana wasikimbilie huku kwetu wamalizane huko huko kwao,si wameamua wote kuwa wakubwa bwana hakuna kusikilizana.
 
Hao wazee watatoka kabila gani? Nchi ikishakuwa na ukabila kama ilivyo kwa Kenya usitegemee kwamba kuna muafaka wa kisiasa utapatikana kutokana na wao wenyewe. It is only the international community that can help to reduce political tensions through round table negotiations!
Ndio maana niliuliza hilo swali na Wakenya wa humu hawakutaka kulijibu sababu wanaijua nchi yao,hawana umoja.

Mizizi ya ukabila imekita kwenye kina kirefu, ubaguzi umewafikisha mahali hapa.

Nimesoma mahali kwamba mabalozi wa nchi mbalimbali waliopo Kenya wanapanga kuwasuluhisha labda itasaidia.
 
We know all how it will end, refer back to the issue of foreign currency reserves and port. Roho chafu kuanzia rais mpaka mkaazi wa chini

That is misinterpretation by your media she did not mock but said Tanzania is witnessing an influx of investors who abandoned the Kenyan market.

What is wrong with that statement?
 
Back
Top Bottom