Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakundustan wakishangaa kweli ndo Tanzania ile tuliyo kuwa tunadanganywa kweli
20230704_143223.jpg
20230707_170022.jpg
 
Africa Huwa Kuna watu wajinga sana ndio maana kusoma haina maana kwamba una IQ au EQ kubwa.
hiyo ni passion yake mzee huwezi jua labda atataka kuja kufanya research on interlinkage btn engineering and medicine! Wacha kumkejeli mzee! kwani unadhani field ya Biochemistry ilikujaje? Biopyhsics je? Wewe ukimbiaji umande wako usifanye ukasirike juu yake!
 
Universities za Tanzania, top notch in Africa

Cc NairobiWalker mana alileta vi article vyake uchwara vya kutengeneza chumbani kwake, haya taasisi ya kuaminika kabisa, pinga na hiyo sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Elimu yetu kubwa kuliko yenu.
 
Back
Top Bottom