Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hii kitu hutaki kuizungumzia unaikwepa? [emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
It's only 9 billion deficit sijui hio double yako ulkua unatoa wapi. Kenya last year ilikuwa na kiangazi ndo maana tuliimport alot of food stuff, watch mwaka huu hio deficit itapungua.. alafu mtu anaweza fikiria ni kitu important mnaexport kenya unapata 80% ni mahindi
 
Screenshot_20230706-205003.jpg
Screenshot_20230706-205034.jpg
Screenshot_20230706-205159.jpg
Screenshot_20230706-205316.jpg
 
mwaiofhawaii. Unajua mkitaja taja dodoma me huwa nafurahi tu [emoji1787] DODOMA ni league nyingine Bro. Cheki hizi mitaa wala sio government city but they are rapidly growing .. juzi nimepita DODOMA wakati nikienda Mwanza, anyways nimeona hiz picha kwa jamaa wa kuuza viwanja. Heb toa tongo tongo kidogo [emoji116]. .
Nini cha maana hapo? Hizo nyumba 3? Barabara zenyewe vumbi
 
Back
Top Bottom