Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
ichoboy01 Hii ndio Africa, tofauti za mawazo hazikubaliki,l.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwani jpm bado anatishia watu
ichoboy01 Hii ndio Africa, tofauti za mawazo hazikubaliki,l.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sometimes Ili mambo yaende wapuuzi wachache lazima wafundishwe nidhamu,wamezidi upotoshaji.Kwani jpm bado anatishia watu
Uenda ndio aka yake hiyo na yeye alitaka iandikwe hivyo.Hawa Yanga nao wapuuzi unaandikaje jina la Rais Dr Laz? With all that branding opportunity? Na mbona hata kama first name wasiandike Dr. Lazaro! Branding machine yao ina matatizo na ubabaishaji mtupu! Ilipaswa isomeke Dr Chakwera!
Pia nilihisi hivyo, Yanga kuna watu makini sana hawawezi kufanya blunder kama hiyo.Uenda ndio aka yake hiyo na yeye alitaka iandikwe hivyo.
Kijana wangu. Kama unahitaji ada ili kuongeza elimu ya juu zaidi ya uliyonayo sasa, niko tayari kukulipia adaAache uzushi huyo mpuuzi, Bandari imeuzwa wapi na Kwa bei gani?
Nahitaji pesa sio Elimu.Kijana wangu. Kama unahitaji ada ili kuongeza elimu ya juu zaidi ya uliyonayo sasa, niko tayari kukulipia ada
Kiufupi wew mwenyew unaweza kuuzwa bila kuwepo hata hela mezani
Mkuu, subject hapa sio bandari, ni kutishiwa maisha kutokana na kuikera serikali, Yale Yale ya Tundu Lisu yanaendelea.Aache uzushi huyo mpuuzi, Bandari imeuzwa wapi na Kwa bei gani?
Hata Mimi ninashangaa Sana, siwaoni waliokua wakimuita Magufuli alikua dictator wakisema kitu.Kwani jpm bado anatishia watu
Hizi hapa za Kenya vs TanzaniaUnaniletea figures za Tanzania against eac nzima na unaclaim mnaenda kudouble trade deficit na kenya. Trade deficit between kenya na Tanzania ni kidogo sana inaishinda ikishift kulingangana na seasons. Hamna siku mtatuuzia mara mbili ya tunachowauzia, labda kwa ndoto. Alafu pitia hio post yako, ulikua unazungumzia kugenerate umeme through geothermal ni very expensive ukilinganisha na hydroelectric nikakuambia ulete figures tuone zimewachana na ngapi



Akaripoti Polisi Ili Apewe Ulinzi hao ndio wenye dhamana kuliko kututangazia sisi maana zaidi ya kumpa pole hakuna kingine tutamsaidia maana hatujui nani wanamtishia ila yeye kwenye maelezo yake anadai ni kutokana na msimamo wake wkihusu Bandari na kasema hakuna wa kumyamazisha Sasa tutafanyaje Mkuu..Mkuu, subject hapa sio bandari, ni kutishiwa maisha kutokana na kuikera serikali, Yale Yale ya Tundu Lisu yanaendelea.
Lengo ni kumuonyesha ichoboy01 kwamba, Africa demokrasia bado ni nadharia Sana, yaani uvumilivu ni hakuna kabisa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Shetani ashindwe!!
Kenyan own Twiga Foods has revived the project… have you seen their warehouse at Tatu city?… impressive….. hopefully more bigger things coming… this should enhance our National food basket…
Mkuu, Tundu Lisu alitoa taarifa polisi kuwaambia kwamba Kuna gari inamfuatafuata Sana, na hata namba za gari aliwapa, lakini hakuna hatua zilizochukuliwa hadi alipopigwa risasi.Akaripoti Polisi Ili Apewe Ulinzi hao ndio wenye dhamana kuliko kututangazia sisi maana zaidi ya kumpa pole hakuna kingine tutamsaidia maana hatujui nani wanamtishia ila yeye kwenye maelezo yake anadai ni kutokana na msimamo wake wkihusu Bandari na kasema hakuna wa kumyamazisha Sasa tutafanyaje Mkuu..
Anajua yeye na hao wanaomtishia.