Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Real estate development in Sub Saharan Africa hawa ndio vinara .. Angola [emoji116]View attachment 2677764acha nilale kesho nitakuamkia nikufunze vile Africa is more developed than you think
Hawa washamba hawajawahi toka nje ya nchi yao au la kama wamepata exposure basi ni ujivuni wa kijinga na wa kitoto tuu ndio unawasumbua.
 
Hawa washamba hawajawahi toka nje ya nchi yao au la kama wamepata exposure basi ni ujivuni wa kijinga na wa kitoto tuu ndio unawasumbua.
Nyinyi kwenu ni uswazi ndo maana mnapata comfort kwa vitu za wenyewe
 
What about you? Somalian money building estates in Kenya. Better chinese money than money from a shit hole country like Somalia in which Kenya benefits from their turmoil.
private invest where they is demand apart from government.
Huko kwenu mnasomea ujinga
 
Wacha kuwa mpumbavu na propaganda za kimagharibi huo mradi ulitekelezwa zaidi ya miaka kumi na wote una watu hadi tunavyoongea hivi sasa au unataka ushahidi.? 🤣🤣

Eti ooh private sector is the way to go, private sector ya kenya enyewe inatengeneza vitu vya kijua kali 🤣🤣 I would rather choose government projects over hizo takataka mnajenga ..
Vile private sector yenu imekufa , all greennets ni za serikali😂
Hadi simple estates ni serikali inajenga Tena majumba zinakaa servant quarters.
Toa uchafu hapa.
Hapo hufiki bei.
Pambana na zile uswazi zenu with weird roofings
 
Nyinyi kwenu ni uswazi ndo maana mnapata comfort kwa vitu za wenyewe
Sisi tumewapiga kwenye miradi mikubwa, tofauti yetu na Angola ni vipaumbele, sisi tumeweka miradi ya kimkakati na ya maendeleo ya kweli, Angola wamechagua Estate, ikija kwenye miradi mikubwa ya maendeleo ya kweli Angola ipo nyuma yetu, ikija kwenye estate wanatupita, ila nyie hamjulikani mko wapi, kila kitu mnataka nyie wakati uchumi mdogo, mwisho wake mnashia kujenga vitu jua kali.
 
Unasifia private kwa sababu government yenuimeshidwa kuleta yale matarajio yenu eg brt
Serikali ya Kenya imeshindwa hata kutimiza jukumu muhimu la kulinda raia wake dhidi ya Alshabaab, inategemea nini Kama sio kukumbatia "private sector?". Serikali ya Kenya ni dhahifu Sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nairobi expressway
FseL7GzaMAAW_ut.jpeg
FseL7GwaYAEBiCG.jpeg
FseL7G0aEAA0ypu.jpeg
FseL7GyaMAU2RlU.jpeg
 
Wadanganyika hawajui tofauti ya LOAN na Public Private Investment sababu hawaelewi kizungu 🤣🤣
Mfumo wa CCM wa shule ni bure sana watanzania wote apa jamii forums ni illiterate ajabu, yani akili ya mtanzania wa hapa jamii forums inashindwa na mtu wa Class 8 primary school huku Kenya
Fs4bfZbXoAEmF8o.jpeg
FxTWwQOXgAEncWc.jpeg
FxTWwQNXgAMbNU-.jpeg
Fs4bfZZXwAEsz3X.jpeg
 
Nairobi Expressway ni mfano murwa wa PPP hadi wadanganyika CCM imebidi watembelee Kenya kujifunza kuhusu expressway na PPP ata kama wanaskia wivu
Fyq-BLMacAAsr3a.jpeg
Fyq-BLGakAAntI4.jpeg
Fyq-AVhaAAIw3cV.jpeg
 
Back
Top Bottom