Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi Expressway cuts through the heart of CBD, 27km of engineering marvel
FwvPDaeWwAwesMP (1).jpeg
View attachment 2678303
Fx8kU0OacAEE4PC.jpeg
20230703_154108.jpg
 
huko kwenu Tangagiza mtoto jina ni la baba au mama? Familia watoto wanasemekana ni wa nani?
Jina limetoka wapi tena hapa mbona unashangaza hivi au kichwa chako ni kigumu kuelewa simple question? Swali umeulizwa Obama ni mweusi ama sio?

Sasa wewe unajibu mara mjaluo sijui mtoto jina unachukua kwa baba hii yote ni kukwepa swali ama ni uelewa mdogo?
 
si ni mweusi. Mbona unaogopa kugoogle kitu rahisi kama hicho? You must be an illiterate moron
 
Tumetembelea kuangalia mlipokosea na sisi tusikosee kama nyie mfano mzuri umeona kwenye SGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo inaitwa kujifunza kwa lugha nyingine. Kenya ndio mwalimu hapa East Africa. SGR karibia miaka kumi bado kipande cha 100km hakijaisha wakati Kenya ata tumechoka na SGR [emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo inaitwa kujifunza kwa lugha nyingine. Kenya ndio mwalimu hapa East Africa. SGR karibia miaka kumi bado kipande cha 100km hakijaisha wakati Kenya ata tumechoka na SGR [emoji1787][emoji1787]
Nyie ni wanafunzi vilaza mlitembelea brt Tz kujifunza bado mkatoka na F na mpaka leo your brt is a joke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hali ni ngumu sana ila kwakuwa tuko pamoja kwenye EA community hakuna jinsi zaidi ya kuwabeba tuu ili na sie wengine tusiathirike na kuanguka kwao.
Tatizo hayabebeki haya majibwa, huko Saudia wanafanya fujo sana, wanaua waarabu na kuwaibia, hawa jamaa ni laana tupu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo inaitwa kujifunza kwa lugha nyingine. Kenya ndio mwalimu hapa East Africa. SGR karibia miaka kumi bado kipande cha 100km hakijaisha wakati Kenya ata tumechoka na SGR [emoji1787][emoji1787]
Mumewahi kumaliza Ili muwahi kupata hasara?, Reli yenu ni mzigo kwa raia, haijawahi kutengeneza faida na kuanzia mwezi huu mnaanza kulipa deni lake, Kenya ni mfano mzuri wa kujifunza "Failures".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom