Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,717
- 107,164
Na unaweza kukuta huyo unayejibishana naye anatokea kwenye moja ya hizo kabila mbili🤣🤣Kenyatta kikuyu
Moi kalenjin
Kibaki kikuyu
Uhuru kikuyu
Ruto kalenjin
Haya tuambie kenya kuna makabila mangapi tuone 😅😅😅😅😅 na ukumbuke kabila la kikuyu na kalenjin wanaukaribu mkubwa sana hakuna asiejua hilo
Wakenya wengi wa humu ni wajaluo, huoni wana hasira sana za kutengwa, wajaluo wengi wanaishi kibera na mathare, waliosoma soma kidogo wanaishi pipeline.Na unaweza kukuta huyo unayejibishana naye anatokea kwenye moja ya hizo kabila mbili[emoji1787][emoji1787]
danganyika kuna chama tafauti na ccm?Koo tofauti ni huyo ruto pekeake
Serikali muflis hii mkuu. Unabadilishana raslimali ya gharama kwa meagre remittances kweli!!!!Serikali imeshindwa kutengeneza ajira imeamua kuuza raia wake ughaibuni.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yaani hata mwenye kiti wa kitongoji hajui kama kuna kundi la wahuni wamevamia!!!! Sijui ni serikali ya aina gani wanayoiongoza hawa mashakaholaHivi Kenya Kuna jeshi au kundi la wavuta bangi?, Yaani zaidi ya wanamgambo 1000 wanaingia Kenya na kufanya mauaji na kuondoka bila hata kujulikana.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wanapenda sana kushoboka na vya watu.Kesho utaskia wanakwambia wao ndio waliopeleka kiswahili africa 😅😅😅
View attachment 2676586
Viongozi wenu ni walewale wakiona jina la chama ambacho wako nacho madaraka halipendwi Wanabadili jina la chama na kurudi madarakani kwa jina tofauti ili kuwahadaa tu wakenya wapinzani wa Kenya wa muda wote ni familia ya odinga toka enzi za baba yake nae Sasa anazeeka Sasa niambie lini odinga aliingia madarakani?kenyatta famy walitoka kitambo buda..kenya sio kama CCM
sa hii ni hustler rais and so forth
Wanabadili majina ya vyama lakini suru zilezileKenyatta kikuyu
Moi kalenjin
Kibaki kikuyu
Uhuru kikuyu
Ruto kalenjin
Haya tuambie kenya kuna makabila mangapi tuone 😅😅😅😅😅 na ukumbuke kabila la kikuyu na kalenjin wanaukaribu mkubwa sana hakuna asiejua hilo
Mavitu tangu 2017 mnayaonesha haya haya, ukitoka hapo unagonga na GTC za mchina unakuja kumalizia na ka expressway cha mchina zen unatangaza ushindi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Roads in NairobiView attachment 2676679