ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,421
- 88,513
Tazara tu imeshatumia zaidi ya bilioni 6 kununua vifaa vya kupakia na kushusha mitambo ya JNHP, jiulize ni mitambo kiasi gani, juzi kati tazara imenunua well-wagons kutoka China, ndio wagon yenye uwezo wa kubeba uzito mkubwa kuliko wagons zote za reli Africa
Mitambo iliotumika JNHP ni mingi kiasi cha kuinua hata numbers za mzigo uliohudimiwa na Dar port kwa zaidi ya 4%
Sawa kwani hizo Mitambo ni Asilimia ngapi ya gharama ya mradi?