Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya watakwambia wao Wana Elimu Bora Afrika na Dunia yet kwenye Best University Ranking hakuna Chuo hata Kimoja Cha Kunyaland [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Top 10,Tanzania has 2 university,Uganda and Rwanda 1 for each other..
Naiona Ardhi University na Muhimbili...hawa si walikuwa college wa UDSM? UDSM imekuaje tena

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Uchafu wenyewe ndo huu sasa [emoji1787][emoji1787]
Screenshot_2023-07-02-01-59-36-869-edit_com.twitter.android.jpg
 
Kijana wangu unaniletea aibu sasa. Mim nimependekeza uteuliwe kuwa msaidizi wa Rais kwa masuala ya vijana, afu unaongea vitu kama hiv..
Hakuna mwekezaj timamu anawekeza sehem kwa business plan ya millions of dollars ya miaka 5 au 10 (kulingana na presidental terms zetu) kwa kuangalia rais aliepo.. mfano eti kisa rais flan ni mzur, ngoja tuwekeze huko, labda wapiga deals (hasa wanaoleta mikataba ya kijinga wapige deal hata kwa miaka ming baadae).
Unaniangusha kijana wangu.. afu nilikupaga ushauri, kwenye mambo serious uwe unasoma tu, usicomment mana utaniaibisha 😂
Usijizungushe saaaana ,unaweza niambia Kwa nini miradi Mingi ikiwemo huu wa gas uli stall awamu ya 5?

Hapa unajifanya huelewi na blaa blaa kama hizo,Kwa Nchi za kiafrica investors wakubwa Huwa wanataka insurance ya Rais Moja kwa Moja maana Nchi zetu zinachuliwa ni untable Kisiasa thus why inaambiwa tuna Sera ambazo hazitabiriki..

Kwa kutambua Rais anaweza asiwe aliyeko anaeweka pesa nyingi lazima ana demand specific law to sefuguard Mali yake kama insurance,tena hiyo law utakuja kuona lazima itahitaji Sattlement zozote zifanyike kwenye sheria za Kimataifa sio Tzn, Rostam alisema juzi kwamba Mifumo ya sheria za Africa haiaminiki maana Kiongozi anaweza mpigia hakimu kwamba nataka uamuzi uwe hivi na ikawa.
 
Back
Top Bottom