Hatimaye pumba zimeanza kujitenga na mchele, hakika mafuta hayachanganyiki na maji, Tundu lissu na Rostam Aziz wamethibitisha kwamba Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli, Rostam anakuambia kama yeye angekuwa fisadi basi Magufuli asingekwenda kuzindua kiwanda chake kule Morogoro. Tundu lissu naye anakuambia Magufuli hahusiki na mikataba ya hovyo kwani tunajua fika hakupenda mali za nchi hii kushikwa na wageni.
Hao ni watu ambao walikuwa miongoni mwa maadui wa Magufuli lkn kwenye ukweli leo wameongea, sasa hawa wanuka mavi wa humu jamiiforums ni kina nani mpaka wabishe, msikilizeni Lissu hapa.
Wanuka mavi wa jamiiforums, kula chuma iyoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]