Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waambie wakuoneshe konza au tatu zinajengwa toka kibaki 😅😅😅 na hazijawah fikisha hata 1% of its render
Konza 10 Years ago, Dodoma 🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_2023-06-07-17-36-33-09_577d3fb6a74f2f15839a6cd01d5168cd.jpg
 
Jirani hakosikani katika makundi ya hovyohovyo


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapo huwezi waona wakikomenti proud kenya sijui bra bra[emoji23][emoji23][emoji23]....sijui much love from kenya...wako kimya..

Na wanaficha takwimu sana....kuna umaskini mkubwa sana kenya..Tanzania ikasome...

Huyo jamaa kasema wamechukua mikopo kibao toka 2008 ili 2030 wawe developed lakin hii imepelekea umaskini kuongezeka mara mbili hadi 60% ya population kukosa hata mlo mmoja kwa siku
 
Atakuja na blah blah za namba ya gari. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya wako hovyo sn, imagine hiyo gari inapiga route ndani ya Nairobi watatuambia nn tuwaelewe, mm binafsi tangu kuzaliwa sijawahi kuiona gari kama hiyo posta piga ua, hata mtaani tu sikumbuki, hawa jamaa ni mafukara mno hatupaswi kushindana nao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umefanya vizuri kupost hii video. Makini kuona Dar ilivyo. Kwa majengo yote napenda hili pspf. Lina uzuri wake.
View attachment 2672216
1. Lakini kama nilivyo sema hapo awali, ni kama Dar hamna biashara. Haya majumba yote mazuri, ni ya serikali. Private sector Tanzania ilifia wapi!?
2. Mazuri sana majumba hayo yote 15, ila yamezingirwa na mazingira duni mno. Mfano, hilo jumba pspf, nyuma yake tu, barabara ni ya vumbi, kisha vijiji, nyumba za vijijini kabisa zinafwata na wala hamna lami. Ndo maana tukasema, Dar bado ni fishing village. Tazameni hapa!!
View attachment 2672221
3. Tuje sasa kwenye CBD. CENTER KABISA. YAANI KATIKATI MWA JIJI.
View attachment 2672225View attachment 2672227
Hivi vibanda upande wa kushoto vinatia kinyaa!
 
Nitakujibu kwa video za huyu Kijana Bertin...(Kijana nitampa maua yake anajitahidi kuonesha uhalisia wa mitaa ya Dar)

Hii video ni ya mwaka huu ikionyesha barabara zilizokaribu na Hilo jengo la PSSPF....ok unaonaje quality ya barabara



Kunakaa ushago kabisa!!
No uniformity!!!
A very ugly city.
Plus hujaprove izo barabara za nyuma ya ppsp ni lami!!! Barabara. Za mlango wa nyuma.
 
Waandishi wa habari na watu maarufu wa kibongo wengi ni vilaza tu .. msikilize huyu mpuuzi anakwambia tofauti ya kidato cha nne na form six ni kiingereza tu 🤣🤣🤣 kumamaee 👇. Sijajua hii inatokana na kutosoma au ni nini.? Na kwanini kama mtu hujasoma utake kuzungumzia vitu vya kisomi.?

Umesahau hao waandishi wa habari wengi ni certificate!
 
Kunakaa ushago kabisa!!
No uniformity!!!
A very ugly city.
Plus hujaprove izo barabara za nyuma ya ppsp ni lami!!! Barabara. Za mlango wa nyuma.
Hebu ondoeni hivi vipanya ndani ya jiji lenu ndo ukomenti kiwivu juu ya Tanzania...

Pale ambapo umezidiwa unappreciated sio kila kitu unaponda tu na kutafuta weaknesses
1687936443030.jpg
 
Back
Top Bottom