ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,364
- 88,452
😂😂😂
35 and 33floors kenge wewe 😅😅😅😅Hili jengo la nani!? Nani mmiliki!? Hivi tangu 2014 hadi leo!? Ni nzuri ila fupi sana. Sa hii kitu cha kuposti ni 30+ floor towers ama huge houses! 20 and below vimepitwa na wakati
Toa hii takatakaSomehow, this Stadium remains the only International Stadium in East Africa even After Tanzania spent millions on Mkapa.
View attachment 2672074
Si hua munasema waislam ni wachache kenya kulikoni tena 😅😅😅😅Yaani hata kuhijji, Kenya tena I washinde!? Population kiisilamu Tanzania ni Mara tatu ya Kenya, hilo mjue!!
View attachment 2671997
Zineuzwa ngap so far ?? Zikifika 10 nitag 😅😅Mobius 3 is fire
View attachment 2672020
Unavyosema umekuja DAR, umefika DAR wapi.? Ni mwaka gani.? Anyways in case you don't know, jengo la pppf tower lipo Sinza .. hii sinza as of now barabara nyingi zina lami and most of those buildings, ni offices, restaurants, lodges n.k .. ona picha hii vizur zaidi 👇Umefanya vizuri kupost hii video. Makini kuona Dar ilivyo. Kwa majengo yote napenda hili pspf. Lina uzuri wake.
View attachment 2672216
1. Lakini kama nilivyo sema hapo awali, ni kama Dar hamna biashara. Haya majumba yote mazuri, ni ya serikali. Private sector Tanzania ilifia wapi!?
2. Mazuri sana majumba hayo yote 15, ila yamezingirwa na mazingira duni mno. Mfano, hilo jumba pspf, nyuma yake tu, barabara ni ya vumbi, kisha vijiji, nyumba za vijijini kabisa zinafwata na wala hamna lami. Ndo maana tukasema, Dar bado ni fishing village. Tazameni hapa!!
View attachment 2672221
3. Tuje sasa kwenye CBD. CENTER KABISA. YAANI KATIKATI MWA JIJI.
View attachment 2672225View attachment 2672227
Mbeya inaenda kujengwa road Kali ka ma hiyo ya Sam NujomaUnavyosema umekuja DAR, umefika DAR wapi.? Ni mwaka gani.? Anyways in case you don't know, jengo la pppf tower lipo Sinza .. hii sinza as of now barabara nyingi zina lami and most of those buildings, ni offices, restaurants, lodges n.k .. ona picha hii vizur zaidi 👇View attachment 2672234View attachment 2672235View attachment 2672236apartments nyingi zinajengwa hapo kwasasa.. Kwakifupi eneo linabalika lenyewe kutoka kuwa mitaa ya makazi ya watu hadi kuwa ni kituvu cha biashara.. hizi baadhi ya picha nimepiga mwenyewe 👇View attachment 2672244View attachment 2672246.. kila siku tunawaambieni DAR sio Nairobi .. ukuaji wa Dar kibiashara ni habari nyingine kabisa. Sisi hatusubir mzungu aje ajenge apartments
Waandishi wa habari na watu maarufu wa kibongo wengi ni vilaza tu .. msikilize huyu mpuuzi anakwambia tofauti ya kidato cha nne na form six ni kiingereza tu 🤣🤣🤣 kumamaee 👇. Sijajua hii inatokana na kutosoma au ni nini.? Na kwanini kama mtu hujasoma utake kuzungumzia vitu vya kisomi.?
Yani bongo tabia ya kuwapa umaarufu hawa wapumbavu sijui nani alieanzisha 🤣🤣 ajabu hawa wapumbavu wakishapata umaarufu wananza kujitia umuhimu eti na wenyewe wanazungumzia mijadala ya kisomi ya kitaifa ..Dah aisee! Journalism ndio fani pekee bongo hata failure wa division zero anaweza kusomea, huu ni upumbavu mtupu watu zero brain kupewa mic waongee mashudu kwa niaba ya taifa 🤣🤣🤣 ndio vilaza kama babalevo mashakahola yawahype
Hiyo haingii Kwa hii hata kidogo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Muingereza ashukuriwe lasivyo mngekua mnasuluhisha kesi chini ya miti mpaka leo
Nitakujibu kwa video za huyu Kijana Bertin...(Kijana nitampa maua yake anajitahidi kuonesha uhalisia wa mitaa ya Dar)Umefanya vizuri kupost hii video. Makini kuona Dar ilivyo. Kwa majengo yote napenda hili pspf. Lina uzuri wake.
View attachment 2672216
1. Lakini kama nilivyo sema hapo awali, ni kama Dar hamna biashara. Haya majumba yote mazuri, ni ya serikali. Private sector Tanzania ilifia wapi!?
2. Mazuri sana majumba hayo yote 15, ila yamezingirwa na mazingira duni mno. Mfano, hilo jumba pspf, nyuma yake tu, barabara ni ya vumbi, kisha vijiji, nyumba za vijijini kabisa zinafwata na wala hamna lami. Ndo maana tukasema, Dar bado ni fishing village. Tazameni hapa!!
View attachment 2672221
3. Tuje sasa kwenye CBD. CENTER KABISA. YAANI KATIKATI MWA JIJI.
View attachment 2672225View attachment 2672227
Hayo ni mavazi tu,wameshindwa kumaliza cattle rustling,Al shabab,juzi Rais wa DRC amewafukuza,🚮
So, unabisha sio 30+ au? Mwaka unahusiana na nini kwenye jengo lililokamilika? Hata kama lilianza 1980 lkn si limekamilika?Sasa hapa unataka kusema nini!? Yaani huja enda shule, mwenye ameandika stori, ameandika 2020, ila hajasema imeanza lini. Kitu hii imeanza 2014. Maanake, mimi nimekuja Dar 2016, tayari mradi ulikuwa umeanza.
Waambie wakuoneshe konza au tatu zinajengwa toka kibaki 😅😅😅 na hazijawah fikisha hata 1% of its renderSo, unabisha sio 30+ au? Mwaka unahusiana na nini kwenye jengo lililokamilika? Hata kama lilianza 1980 lkn si limekamilika?
Huyu bwana bertin hua anavideo nzuri za DarNitakujibu kwa video za huyu Kijana Bertin...(Kijana nitampa maua yake anajitahidi kuonesha uhalisia wa mitaa ya Dar)
Hii video ni ya mwaka huu ikionyesha barabara zilizokaribu na Hilo jengo la PSSPF....ok unaonaje quality ya barabara
Nasikia ni the second largest judicial building duniani kwa Africa ndio la kwanza
Wivu utakuua wewe mshakahola.Hili jengo la nani!? Nani mmiliki!? Hivi tangu 2014 hadi leo!? Ni nzuri ila fupi sana. Sa hii kitu cha kuposti ni 30+ floor towers ama huge houses! 20 and below vimepitwa na wakati