Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili jengo la nani!? Nani mmiliki!? Hivi tangu 2014 hadi leo!? Ni nzuri ila fupi sana. Sa hii kitu cha kuposti ni 30+ floor towers ama huge houses! 20 and below vimepitwa na wakati
Hilo jengo ni 35 floors jombii na Hilo jengo pachaake hapo jirani ni 33 floors
20230210_165629.jpg
ujenzi ukikamilika litafanana hivi.. Yani the most beautiful tall building in East and Central Africa
16915794049_294c9b8f4f_o.jpg
 
Hili jengo la nani!? Nani mmiliki!? Hivi tangu 2014 hadi leo!? Ni nzuri ila fupi sana. Sa hii kitu cha kuposti ni 30+ floor towers ama huge houses! 20 and below vimepitwa na wakati
Angalia hii video...utajiona wew na Nairobi yako bado sana kwa dar kwenye majengo....

Una tatizo la kujikweza na ukosefu wa exposure....ndo maana tunakuignore...

Tofauti kati ya ujenzi wa makazi wa Kenya na Tanzania ni mkubwa sana, Kenya wanafyeka miti na kuclear maeneo makubwa kujenga yale maghorofa yao ya udongo na kuharibu mazingira sana

Tanzania sisi tunajenga stand-alone homes ambazo zinafanya mazingira kuwa bora zaidi sababu mtu akijenga nyumba yake atapanda miti kuzunguka na kutunza mazingira na kunakua na watu kidogo kwenye eneo kubwa hivyo kuondoa resources scrambling

Kigamboni ni mfano mzuri
 
Ni jambo la ajabu wakidai eti wanatuzidi kwa miaka 30 🤣 🤣 ukiangalia vitu kwa ground vinasema vise versa
Kichaa mmoja kashuka JKIA usiku kapita kwenye expressway ya mchina kwenda Lavington kesho asubuhi anakuambia blah blah blah miaka 30 😂😂😂 akatize tu nyuma ya hiyo Lavington ajionee au apite mchana
 
Kichaa mmoja kashuka JKIA usiku kapita kwenye expressway ya mchina kwenda Lavington kesho asubuhi anakuambia blah blah blah miaka 30 😂😂😂 akatize tu nyuma ya hiyo Lavington ajionee au apite mchana
Waandishi wa habari na watu maarufu wa kibongo wengi ni vilaza tu .. msikilize huyu mpuuzi anakwambia tofauti ya kidato cha nne na form six ni kiingereza tu 🤣🤣🤣 kumamaee 👇. Sijajua hii inatokana na kutosoma au ni nini.? Na kwanini kama mtu hujasoma utake kuzungumzia vitu vya kisomi.?
 
Angalia hii video...utajiona wew na Nairobi yako bado sana kwa dar kwenye majengo....

Una tatizo la kujikweza na ukosefu wa exposure....ndo maana tunakuignore...

Umefanya vizuri kupost hii video. Makini kuona Dar ilivyo. Kwa majengo yote napenda hili pspf. Lina uzuri wake.
Screenshot_2023-06-28-20-35-09-13_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg

1. Lakini kama nilivyo sema hapo awali, ni kama Dar hamna biashara. Haya majumba yote mazuri, ni ya serikali. Private sector Tanzania ilifia wapi!?
2. Mazuri sana majumba hayo yote 15, ila yamezingirwa na mazingira duni mno. Mfano, hilo jumba pspf, nyuma yake tu, barabara ni ya vumbi, kisha vijiji, nyumba za vijijini kabisa zinafwata na wala hamna lami. Ndo maana tukasema, Dar bado ni fishing village. Tazameni hapa!!
Screenshot_2023-06-28-20-34-34-04_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg

3. Tuje sasa kwenye CBD. CENTER KABISA. YAANI KATIKATI MWA JIJI.
Screenshot_2023-06-28-20-33-07-32_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
Screenshot_2023-06-28-20-33-07-32_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
 
Back
Top Bottom