kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
hawa suluhisho pekee linalowafaa ni kuwapatia elimu.elimu ndio mchawi wa kila kitu duniani....ili jamii yoyote iweze kustaarabika ni kuipatia elimu tu.ndio nakuambia pokots will have no time to reason with you and they are trigger happy.They buy smuggled guns from Uganda through mt elgon area.........and they are all armed with rifles.The late nkaiserry ndio alijuwa kuongea nao na kuwapa amnesty ya kusalimisha bunduki zao
vinginevyo wapokot wataendelea kuwa hostile kwa jamii zingine vizazi na vizazi.
CAF6B78B-CF1A-43DE-8895-06D64D6BA946
2F1426D9-44D2-4C69-A123-CCCCBBF79546