Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kariobang Nairobi
a84c8c958bdf7bfa4ffe495526e959cb.jpg
tuusan ushawahi ishi kariobang?
 
tuusan ushawahi ishi kariobang?
Nmeikuta mahali iyo picha I was like daaaamn

It's like pamepigwa radi vile pamechakaa sijaelewa kwann pako ivyo...

That Is nairobi hawatakuonyesha..kumbe makazi yao mengi ni yahovyo tu hii miji ya kiafrica inafanana kwa vitu vya ajabu ajabu karibu yote

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Badae akasema yeye sio shoga...izo ni tabia za kingese aache

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
huyu ni shoga,comment ya kwanza aliiandika with confidence akidhani kwamba angepata uungwaji mkono na wakenya wa jf.

alipoona all members including his fellow kenyans go against him,akajifanya kukanusha...tayari ilikuwa ni too late....ameji-mark mwenyewe kwamba yeye ni shoga.
8d6ee24e8ca8d0b0bd0ca2f758760a10.jpg
 
Hadi wenzenu wanakubali kuwa tower zenu mnapenda sana kucopy especially britam inayofanana na one world trading center.
Screenshot_2017-11-07-08-32-25.png
 
majirani poleni sana kwa msiba mkubwa wa gavana wa nyeri,wahome gakuru uliotokea asubuhi ya leo kwa ajari ya gari
208d012968dad9976c09bfad85dd643f.jpg

naomba isiwe ni ajari ya kutengeneza maana kwa politics za kenya chochote kinawezekana.

btw,tupo rada 24/7 tuki monita kila kinachojiri nchini "kwenyu" japo hampendi....na sisi hatuachi....
 
Hio place shida ni ranchers. Kenyan whites wako na mashamba makubwa sana huko na wamekuwa in conflict na Wamasai na Wasamburu. Kuna wakati some white guy was killed na another rich woman, Kuki Gulliman shot. I guess these rich white ranchers ndio wanalipa polisi wauwe hao mifugo. Lakini this is political because some Maasai MP alikuwa ana incite Wamaasai waingie kwa mashamba ya wazungu hao forcefully and bringing tribal(racial) isht in the area. Those Maasai I guess want the whites gone but sioni those whites going anywhere coz most of them wameishi hapo for generations, guess late 1800 na early 1900s. But they own huge chunks of land which is not good to the locals. But as long as one has the Kenyan citizenship dont care the colour ama religion ama whatever hafai kuwa anaharrasiwa, this is the 21st century.
Sisi tuliuza ng'ombe wao! Huu ndio unafiki wa jirani zetu
 
Back
Top Bottom