Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi vitu za 1998 huwa mnatoa wapi!!!View attachment 2669507
Aisee hii picha inaleta uhalisia wa usafi wa mazingira Tanzania, I'm 100% sure hii picha ni ya kitambo sana kwa kuangalia hizo gari (vipanya) mana siku hizi ni kama hazipo, kweli Tz usafi jadi yetu. Ukijaribu kunitumia picha yenye road safi kama hii bila make up huko Nairobi naondoka jamiiforums.
 
Hivi vitu ni zaidi ya upeo wako mzee! Kuna nchi jirani inaitwa Kunyaland tangu imepata Uhuru imejipambanua Capitalist! Ila ni maskini wa kutupwa! serikali yao haiwezi kulipa mishahara miaka 60 baada ya uhuru na inaugua ugonjwa wa njaa tangu Uhuru miaka nenda miaka rudi!
Waliingia kwenye capitalism kabla ya kuweka taasisi za kusimamia huo mfumo ,matokeo yake ndio hayo Sasa Kila mtu akawa na sharubu..

Ubepari ni mfumo mzuri sana ila tuu Kama una taasisi Imara za kusimamia,wakati ujamaa unategemea hulka binafsi ya mtu plus propaganda pro max.
 
Aisee hii picha inaleta uhalisia wa usafi wa mazingira Tanzania, I'm 100% sure hii picha ni ya kitambo sana kwa kuangalia hizo gari (vipanya) mana siku hizi ni kama hazipo, kweli Tz usafi jadi yetu. Ukijaribu kunitumia picha yenye road safi kama hii bila make up huko Nairobi naondoka jamiiforums.
Tanzania yote imejaa Ivo nissan, kila mahali.
Wacha ujinga.
 
Waliingia kwenye capitalism kabla ya kuweka taasisi za kusimamia huo mfumo ,matokeo yake ndio hayo Sasa Kila mtu akawa na sharubu..

Ubepari ni mfumo mzuri sana ila tuu Kama una taasisi Imara za kusimamia,wakati ujamaa unategemea hulka binafsi ya mtu plus propaganda pro max.
Mkuu, unaweza kututajia nchi yoyote ya Africa iliyofanikiwa kwa kufuata Ubepari?. Mimi ninaweza kukutajia nchi 2 jirani zilizoshindwa za kibepari
1)Kenya
2)Zaire

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Haha sufficient aje na mizigo zinachukua days kutolewa kwa meli!!!
Ama sufficient ilipoteza meaning
Nenda kawaulize WB usinililie mimi.

Hahha ndio maana iyo port haijawahi fikisha 20m teus.
Malaini ya meli kwa foleni kumbe ni poor services ndani ya port!!
Ilhali Mombasa inapokea over 60ships every month.
Hebu tuoneshe hzo 60ships tuone na sisi tufurah 😅😅😅😅 hakuna asiejua dar port ndio tishio kubwa kwa mombasa port utake usitake huo ndio ukweli
 
Hizi vitu za 1998 huwa mnatoa wapi!!!View attachment 2669507
Hebu ww tuambie hzi takataka za mwaka gani 😁😁😁😁😁
20230626_184735.jpg

20230626_185322.jpg
 
Back
Top Bottom