Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hope hujafungua hio video...

Tukuulize wew binafsi kati ya kujenga nyumba yako binafsi iwe na space na nje kidogo na mji...na ukitaka kwenda mjini unachukua BRT bus just im 20m uko at your daily work...

Na kupanga kwenye apartment yenye vyumba viwili na madirisha mawili ya kuview..bado bills nk utachagua maisha yap...

Hizo cities unazosifia watu kuishi kwenye apartments watu wengi hawapendi basi tu ni utafutaji...ndo maana wakizipata ukimbilia kujenga nyumba zao uko pembeni ya miji...

I have been there kileleshwa, kilimani, south C, Eastleigh after 10 years zitakuwa kama pipeline am sure...kwanza lords wengi wa kenya hawapendi kufanya maintance...

Tatizo la hayo maeneo ni barabara aisee...barabara nyingi za mitaa I Kileleshwa, kilimani, south c had westlanda zimejengwa ovyo hazina mitaro, zina rangi nyekundu na mashimo...

Atleast every square has a tarmac.
Pangeni miji yenu na muwe na lami after 2 plots.
Huko kwenu Hadi masaki ni mainroad pekee.
Feeder roads ni vumbi tu.
Eastleigh ndio mabarabara ni mbovu but zitarekebishwa construction ikipungua.
 
hivi mnafikiri urusi ni kama kwa mtogole mnajisahaulisha kuwa urusi sio kama libya
urusi ni taifa lenye nguvu za kijeshi hata kiuchumi na ni beberu mkubwa sana nato na marekni wanalijua hilo nawashangaa nyir mnaolichukulia kizembe zembe hilo taifa aisee...
Watu wanamatch kilomita zaidi ya 100 bila upinzani wowote sijui unasifia nini hapa
 
Ulitaka wapigane wakati walijua kwamba hawajamaliza njia zote za kujadiliana Ili kulimaliza kwa amani?. Mbona limekwisha kwa amani na hakuna shida yoyote?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Amri ilikua imetoka kitambo kutoka kwa putin waangamizwe ila polisi wake na jeshi walijisalimisha na wengine kuungana nao. Hapa inaonesha kuna internal conflict na si kila mtu Russia anasupport utawala wa putin
 
Wacha uongo, hili jambo lilitokea na kumalizika ndani ya massa 24, Putin alisema hao watu watapata adhabu, masaa sita baadae Wagner wakatangaza kusitisha uasi wao.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Victoria
images (1).jpeg
JamiiForums868942773.jpg
 
Wacha uongo, hili jambo lilitokea na kumalizika ndani ya massa 24, Putin alisema hao watu watapata adhabu, masaa sita baadae Wagner wakatangaza kusitisha uasi wao.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
As a matter of fact kiongozi wa Wagner group yupo refuge Belarus sasa baada ya kuondolewa kwenye uongozi!

Naanza kuelewa kwann jeshi la Russia limekuwa likimkatalia Prigozhin maombi yake ya kupewa silaha nzito!
 
Huyo jamaa ni kichaa, Dunia ilikua na wasiwasi endapo angefanikiwa kuwa rais wa Urusi, usalama wa Dunia juu ya silaha za "Nuclear" ungekua hatarini Sana, Kumbuka historia yake alikua muhalifu mkuu na alifungwa miaka 1O gerezani.

Back
Top Bottom