tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Watu mnatoa wap pesa apo kenya?aisee sio mchezoThis is not a rich neighborhood but you'll not find one like this in dar
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Watu mnatoa wap pesa apo kenya?aisee sio mchezoThis is not a rich neighborhood but you'll not find one like this in dar
Hii mbweni nayo sio mchezo vitu ni vizito sana hiviA new pipeline in the making...
Tanzanian don't entertain living in the high rise ghettos and communities.....Every Tanzanian needs space and constructs his own house...ndo maana miji mingi ya Tanzania inapanuka sana...
This doesn't mean Tanzania has no high rise apartments though...but wekeza with precautions
Hapa ni Mbweni 35km from CBD
Better than this
Real estate kenya ni big business. Hata sasa hivi wakati economy haiperfom poa hivo, unapata ndo kuna construction boom everywhere
Nimeona...watu wanapambana sio mchezoReal estate kenya ni big business. Hata sasa hivi wakati economy haiperfom poa hivo, unapata ndo kuna construction boom everywhere
Hahaha kwani hakuna international cargo plains zinaland iyo kauwanja kenu kila siku?Ndege yetu ya mizigo inaanza kazi rasmi kesho, so sijui nyie madalali mtatoa wapi mzigo mtajua wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani wewe unatuletea za Youtube as though sisi hatuna access nazo 😂 😂Wewe uwezo wako wa kujadili mambo ni mdogo Sana, sipaswi kujadiliana na wewe.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ile jam iko kwa highway ya Nairobi-Nakuru hizi magari zitarudi aje Nairobi?Sports tourism[emoji736][emoji736]
Arusha ikipata tu MKICC(Mount Kilimanjaro Conference and Convention Centre , inaipindua Kigalu
Maana ukiweka na New Stadium , Ukagonga na BRT ya 30km maeneo muhimu ..
Maana Arusha City , Bila Kuweka Ngorongoro inaweza kuwa na 5star hotels kuliko , Kisumu na Nakuru
Ni aibu...Ile jam iko kwa highway ya Nairobi-Nakuru hizi magari zitarudi aje Nairobi?
Bado upo ila wameanza na kwenye uhitaji zaidi kwa sasa na nafikiri pia mradi wa SGR bandari kavu pamoja na Ubungo kibaha superhighway umeathiri kipande hiki cha mji kuanzia Kigamboni Mbagala Pugu mpk Kibamba ni swala la muda tu. Mchoro huu hapaKigamboni inakuwa Underlooked Sana , but ni city side inayoweza kuipa Skyline ya Dar View Mpya kabisa , inabidi iwe na eneo la super talls , lakini naona Most private sector Hazina mpango wa kushusha towers huko,
Labda Govt iwa attract kwa kuanza kuweka kitu kama Hyo Convention centre unayosema, pia hyo super highway naona kama waliipiga chini, Hata TPA wangeweza kujenga Magati upande wa Kigamboni
Construction boom ya matakataka yale maghorofa yenu ya udongo yapo hovyo nje ndani?Real estate kenya ni big business. Hata sasa hivi wakati economy haiperfom poa hivo, unapata ndo kuna construction boom everywhere