joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Yeye hajui Hilo.Poland ni mojawapo wa NATO hamna siku urusi au belarus itawaattack
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yeye hajui Hilo.Poland ni mojawapo wa NATO hamna siku urusi au belarus itawaattack
Umekua mganga wa kupiga ramli siku hizi?, toa ushahidi usitumie dhana.Kaa utulie tu nilikwambia hvi vita sio vya ukraine hvi vita ni russia against nato au kwa lugha nyingine ni vita kati ya one world order vs multipolar worldukraine ni chambo tu
Fungua video pumbavu wacha wivu.pipeline aje na rent ni over 100k?
It will never be Pipeline.
All serious cities watu wanaishi kwa apartment.
Even the so called mbweni ni upuzi tu za 50 by 100 plots.
Dawa ya deni ni kulipa, punguza kelele lipa deni, kwani mlipokua mnakopa haya yote hamkuyajua?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hope hujafungua hio video...pipeline aje na rent ni over 100k?
It will never be Pipeline.
All serious cities watu wanaishi kwa apartment.
Even the so called mbweni ni upuzi tu za 50 by 100 plots.
😅😅😅😅😅😅 makubwa hayaUmekua mganga wa kupiga ramli siku hizi?, toa ushahidi usitumie dhana.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyu Rutto ni mtu wa ajabu sana, analazimisha mambo wakati Afrika nzima inajua Kenya haina uwezo.halafu alivyo mburula anapiga njuru huku anavuta mikopo behind the scene!
![]()
IMF agrees $1bn loan to cash-strapped Kenya | Africanews
Kenya's economy is burdened by a debt of $70bn (about €65bn) and a sharp devaluation of its currency, the shilling, against the dollar.www.africanews.com
Huyu Rutto ni mtu wa ajabu sana, anakazimisha mambo wakati Afrika nzima inajua Kenya haina uwezo.
Viongozi wa Sudan hawamtaki yeye kuwa msuluhuhishi wa mgogoro wao, yeye anakazimsha lazima awepo.
Viongozi wa DRC hawataki vikosi vya Kenya kuendelea kuwepo kutokana na kushindwa kufanya kazi, yeye analazimisha lazima waendelee kubaki huko, hii ni aibu kwa nchi kulazimisha kubaki ndani ya nchi nyingine wakati wenyeji hawakuhitaji.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nini cha maana hapo? Greenery?Halafu kuna watu wanafananisha Arusha na miji ya Kikunya! Ati Nakuru? ati Kisumu? Hamna cha Kisumu wala Nakuru ina 5 star hotel!
![]()
![]()
Taja 5 star facilities zilizopo Nakuru na Kisumu! Najua hakuna basi taja 4 star facilities!Nini cha maana hapo? Greenery?
Hauoni ile iconic building kwa mbaali kule.?Nini cha maana hapo? Greenery?
Wewe uwezo wako wa kujadili mambo ni mdogo Sana, sipaswi kujadiliana na wewe.Jamaa anacho nishangaza ni pale anaopoongelea Wazungu halafu analeta reference za zilizotengenezwa na Wazungu wakijiongelea wao or kuponda jambo.
At least kama angeongelea mambo hayo kama uelewa wake binafsi. Mbaya hana uelewa binafsi na wala hana akili za kujitegemea.
hivi mnafikiri urusi ni kama kwa mtogole mnajisahaulisha kuwa urusi sio kama libyaWamemchelewesha sana huyu kenge ,anacheza na Beberu![]()
wanafikiri urusi ni kama iraq au libya wanasahau ulaya na marekani wameweka vikwazo vingapi lakini wajamaa wapo pale pale ......hawatetereki na wanapigana na karibu nchi 30 na marekani yenyewe ipo vitani na urusi aisee.....Nilifikiri unatumia akili binafsi, kumbe ni vi Yutube mitandaoni vinakuendesha? mkuu, samahani, darasani ulikuwa unashika namba ngapi?
Mkuu, alichokifanya Putin ni ukomavu wa kisiasa na kupevuka kwa akili. Kwa nguvu za Kijeshi alizonazo dhidi ya Wagner, angeweza kuwasambaratisha na kumshika kiongozi wao, japo kwa gharama ya maisha ya watu wengi.hivi mnafikiri urusi ni kama kwa mtogole mnajisahaulisha kuwa urusi sio kama libya
urusi ni taifa lenye nguvu za kijeshi hata kiuchumi na ni beberu mkubwa sana nato na marekni wanalijua hilo nawashangaa nyir mnaolichukulia kizembe zembe hilo taifa aisee...
Hauoni ile iconic building kwa mbaali kule.?
