Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Ni akili za kasuku hizo, wakisoma mahali basi wanaamini jumla na kutuletea hapa.“Some of the posts here aged like Milk”
Ni akili za kasuku hizo, wakisoma mahali basi wanaamini jumla na kutuletea hapa.“Some of the posts here aged like Milk”
Coco reborn naomba nikutag plz😅
A new pipeline in the making...This is not a rich neighborhood but you'll not find one like this in dar
Ww akili unazo kwani? si bora sisi tunaijua kenya kuliko ww hata border ya tanzania hujawah kuiona 😅😅😅 so nani mwenye akili hapo??It's so tiresome to argue with most tanzanians here. They are so dumb and will never support their arguments with evidence, just spewing words and calling others 'huna akili'.
This is not a rich neighborhood but you'll not find one like this in dar
Sio wafanye haraka tu waangalie na manufaa ambayo watanzania na nchi kwa ujumla itanufaika sio kusaini tuWafanye haraka sana
![]()
Tanzania set to sign $42 billion deal for onshore LNG plant in July
The neighbouring country wants to ship first LNG within five years of construction of the plant The East African nation is expediting development of natural resclubofmozambique.com
GDP iko chooni inahara 😅😅😅😅Du hawa capitalists vipi tena?
Vikindu ni pwani sio dar lakini 😅😅😅😅niko zangu Dasilamu huku Vikindu 🤣🤣 nakula matunda ya jiji langu pendwa
A new pipeline in the making...
Tanzanian don't entertain living in the high rise ghettos and communities.....Everyone Tanzanian needs space and constructs his own house...ndo maana miji mingi ya Tanzania inapanuka sana...
This doesn't mean Tanzania has no high rise apartments though...but wekeza with precautions
Hapa ni Mbweni 35km from CBD
These rich neighborhoods Nairobi inazo tena nyingi na classier.. Nairobi like any major city ina zoning laws ambapo kuna areas high-rise zinakubaliwa na kuna mahali hazikubaliki. Kileleshwa na kilimani zilikuwa mojawapo ya sehemu ambapo hazikuwa zinakubaliwa, but with the growth of Nairobi laws zilibalishwa ku allow high-rise kujengwa huko. Maghorofa zinazojengwa huku ni za hadhi si gorofa tu.A new pipeline in the making...
Tanzanian don't entertain living in the high rise ghettos and communities.....Everyone Tanzanian needs space and constructs his own house...ndo maana miji mingi ya Tanzania inapanuka sana...
This doesn't mean Tanzania has no high rise apartments though...but wekeza with precautions
Hapa ni Mbweni 35km from CBD
😅😅😅😅😅😅 kwanini unalia sasa na najua hio video hujaifungua am surepipeline aje na rent ni over 100k?
It will never be Pipeline.
All serious cities watu wanaishi kwa apartment.
Even the so called mbweni ni upuzi tu za 50 by 100 plots.
Amekujibu vzr kabisa hebu tuliza akili msikilize kwanza 👇👇👇👇👇😁😁These rich neighborhoods Nairobi inazo tena nyingi na classier.. Nairobi like any major city ina zoning laws ambapo kuna areas high-rise zinakubaliwa na kuna mahali hazikubaliki. Kileleshwa na kilimani zilikuwa mojawapo ya sehemu ambapo hazikuwa zinakubaliwa, but with the growth of Nairobi laws zilibalishwa ku allow high-rise kujengwa huko. Maghorofa zinazojengwa huku ni za hadhi si gorofa tu.
Hapa kupata apartment utatoa zaidi ya 1.6m pesa za Tanzania per month
A new pipeline in the making...
Tanzanian don't entertain living in the high rise ghettos and communities.....Everyone Tanzanian needs space and constructs his own house...ndo maana miji mingi ya Tanzania inapanuka sana...
This doesn't mean Tanzania has no high rise apartments though...but wekeza with precautions
Hapa ni Mbweni 35km from CBD
Huu mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe huko Urusi na jinsi unavyokwenda ni fundisho Sana kwa ninyi wenye kulaumu wazungu kwa Kila matatizo hapa duniani.Vikindu ni pwani sio dar lakini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huu mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe huko Urusi na jinsi unavyokwenda ni fundisho Sana kwa ninyi wenye kulaumu wazungu kwa Kila matatizo hapa duniani.
Putin ameamua kufuta usemi wake kwamba Wagner group ni waaini (treason charges) na kukubali kukaa nao, Wagner nao wameacha kusonga mbele na kukubali kukaa meza Moja na serikali huko Belarus Ili wapate ufumbuzi "amicably".
Tofauti na Africa na nchi za kiarabu ambako kutokana na tamaa zao, ujinga na viburi kuwajàa, hawataki kukaa pamoja na kusikilizana, mwisho husingizia wazungu ndio wanaowachonganisha.
Huko Sudan, wamekataa kusuluhishwa eti kwasababu kiongozi wa majeshi ya serikali anataka lazima kiongozi wa RSF atambulike Kama muaini.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Poland ni mojawapo wa NATO hamna siku urusi au belarus itawaattackMm nilikwbia hii ni vita ya siasa toka jana tena nikakwambia before poland kitanuka anytime soon just wait and see [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na unajua Belarus na poland ziko vp ?
Kaa utulie tu nilikwambia hvi vita sio vya ukraine hvi vita ni russia against nato au kwa lugha nyingine ni vita kati ya one world order vs multipolar world 😅😅😅😅 ukraine ni chambo tuPoland ni mojawapo wa NATO hamna siku urusi au belarus itawaattack
Wewe ni "typical African and very undeveloped brain", hujiamini na hutaki kukubali kwamba sisi waafrika na nchi zingine zinazoendelea tunao uwezo wa kujiamulia mambo yetu, ni jambo la kushangaza na kusikitisha kwa waafrika kuwa tunadhani wazungu wanaweza kutufanya vyovyote wapendavyo, wakiamua tupigane tunapigana, wakiamua tuache vita basi tunaacha.Tatizo lako bro ww hutaki kuelewa nachokwambia haya yote nilikwambia toka mwanzo ni siasa za vita hutengezwa maalimu kwa kusudi maalumu na mm nilikwambia toka jana same words even before [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mzungu nilishakwambia ndio adui wa amani duniani hili hata uwende wapi halikwepeki vita vyote duniani chanzo ni mzungu au beberu kwa lugha nyingine na hata mahakama ya dunia imetengezwa kwa lengo la kuwalinda wao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na nilizungumza hapa toka mwanzo russia hapigani na ukraine bali anapigana na nato na hii ni vita ambayo itaamua dunia iende na one world order au multipolar world
Na weka maneno ya akiba very soon poland itaitika just wait [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]