Hawa hata ateremke mtume wa Mungu aje awaongoze hawawezi kunyooka kwasababu wanaroho mbaya sana alaf wabinafsi sanaVipi kuhusu katiba mpya, mbona hatuoni ikipambana na huu ujinga?, au imeshazeeka wanahitaji kuandika katiba nyingine?
Umemaliza Kila kitu mkuu.Hawa hata ateremke mtume wa Mungu aje awaongoze hawawezi kunyooka kwasababu wanaroho mbaya sana alaf wabinafsi sana
Yani hakuna mjaluo au mkikuyu anaefurahia kabila lingine kufaidika ndio maana unaona serekali ikishikwa na mkikuyu basi over 70% wafanyakazi serekalini watakua wakikuyu tu
Hizi projects zote zilikua ni kushindana na Tanzania
Cheap sugar gani na yet uko kilo ni 170 since sijui 2019!!!Cheap sugar from Tanzania coming to a table near you.
Kenya’s sugar imports bill hits Sh24bn on low output
Kenya remains a net importer of sugar despite having the potential to produce and meet her domestic consumption and surplus for export.mobile.nation.co.ke
***** hao waliochora hio ramani nawapa 1000/100Dah hii ngoma ingekuwa posta pale pembeni ya mzizima ingekuwa noma sana.
kidogo naanza kuona mnaelimika kuandika hizo plate nomber
Jamaa wamechoka sasa wamekimbilia kweye ajira za urasta 🤣Ujue wanakuja na uchumi hawa, accommodation, utilities, fees, living expenses za hapa na pale ni mchango mkubwa kwenye microeconomics, India ina percent nzuri ya education tourism kwenye uchumi wake
Ninyi naona hata serikali yenu imeshindwa kabisa kuwapigania inabangaiza serikali nyingine duniani ndio ziwape one of their critical obligation which they've failed to deliver, employment, yaani mpaka Jamaica seriously 14 billion economy? 😅😅😅
nchi ya kambale kila mmoja kaota ndevu.Umeona balaa lenu sasa 😅😅😅
Katiba mpya Kenya; Serikali ya Jubilee ilikopa zaidi ya $4B na kuzitumia bila idhini ya bunge la kitaifaCheap sugar gani na yet uko kilo ni 170 since sijui 2019!!!
Ikuwe cheap kwa watanzania wanyonge kwanza ambao wamefungwa mdomo na katiba mbovu ya 1960.
This is the real meaning of a giant country, it is a major source of imports and remittances to it's neighborsCheap sugar gani na yet uko kilo ni 170 since sijui 2019!!!
Ikuwe cheap kwa watanzania wanyonge kwanza ambao wamefungwa mdomo na katiba mbovu ya 1960.
pelesupelesu kila kona mpaka myoke manundu.Harambee Stars beat Pakistan yesterday in Mauritius…. Do you see us here posting about it?… No !.. because it’s Pakistan not South Korea or Japan…. Please beat some respectable and ranked teams and then you can brag all your life…Chenzi type!..🤣🤣🤣🤣