action "packed" event starts today!
Kuna video niliambatanisha kaka.Weka status yake Kwa picha tuone ilipofikia
Mnapenda ku promote mlima wetu utadhani hamna wa kwenuNairobi with Kilimanjaro on the background.

Ila kwenye selling bado ipo juu! Sehemu nyingi ni 18! Sijui inakuwaje kwenye hili.Now 16.4 hehehehe
Madubwana ya shakahola nyambafu sana 🤣🤣🤣Jambo njema hua ni lao pekeyao ila jambo baya kwao hua ni la east africa ndio mujue hawa watu wanaroho mbaya sana tena hasa kwa tanzania
Selling lazima iwe hivyo ila buying imefika 16.4, mwanzo buying ilikuwa 18 alafu selling 23. Mwezi ujao itafika 15, after this year itagonga 9 mpaka 5. After two years kwa mwendo huu itakuwa 0... Mana ni free fall hii.Ila kwenye selling bado ipo juu! Sehemu nyingi ni 18! Sijui inakuwaje kwenye hili.
Extended canopythere is no doubt, the most beutiful train station in Africa!








