Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ndio kichwa puto, nimekwambia jibu ni hili" mnawepekea Israel na China kufanya nini?

Nimekufafanulia vyema. Umesema Egypt, Iran na Algeria. Nimekuuliza unitajie hizo nchi wanenda fanya nini, unakuja na China na Israel. Nimekuambia nitajie mwanajeshi yeyote aliyeenda Israel kwenye mafunzo since 1979, hujibu bali unazidi kuongea pumba.

hata hujui nini unaongea!
 
Hizi standard hazipatikani popote pale EA, mashakahola kama wanabisha watume picha kutoka ka Nairobi inayokaribia hii.
Standard zipi haswa?? Hizi?
IMG_202128_18623.jpg

Nairobi CBD huezani nayo
IMG_231134_15623.jpg
IMG_231029_15623.jpg
IMG_5638.jpg
download%20(13).jpg
IMG_232654_11123.jpg
shaku_mobile_photography_1669453810926931.jpg
 
Mkuu mbona umepiga picha downtown hata dar naweza kwenda downtown nikapiga picha hizo..,....Kwa mtandao wa barabara hadi za vichochoroni na mitaa ya hadhi za chini(Slums) Dar imeizidi nairobi...Nairobi kuzuri city central tu sio nje ya city central
 
Mkuu mbona umepiga picha downtown hata dar naweza kwenda downtown nikapiga picha hizo..,....Kwa mtandao wa barabara hadi za vichochoroni na mitaa ya hadhi za chini(Slums) Dar imeizidi nairobi...Nairobi kuzuri city central tu sio nje ya city central
wewe ni chizi
 
Tuna peleka watu wetu kufanya nini huko?
In 1960s kabla ya Tanzania Military Academy kujengwa, higher training kijeshi walienda Egypt na kwingineko.

Sasa, hebu tupe mwongozo ukiambatana na ushahidi wa nini kinaeapeleka wanajeshi wetu huko, ikiwa higher military training karibia nchi zote za kusini mwa jangwa la Sahara, hutumia Tanzania Military Academy.
Every year you bring your officers to train in our Military Academy, just like other African countries…. I can prove to you…. Show me a Kenyan officer graduating from your so called academy….Hakuna!
 
Dar haina lami kwenye estates na makaazi labda udanganye wasioijua dar. 80% ya dar ni uswazi na lami zinahesabika.. Nairobi hadi kibera ina pavements
Mkuu njoo dar acha story za MITANDAONI...80% ya dar ni slum na lami zinahesabika....Ebu nitajie uswazi za dar city unazozijua wewe afu tuone kama hakuna lami?????? Go ahead
 
Dar haina lami kwenye estates na makaazi labda udanganye wasioijua dar. 80% ya dar ni uswazi na lami zinahesabika.. Nairobi hadi kibera ina pavements
Utamaduni wa dar ni tofauti na nairobi......hasa kuhusu estate na hata aina ya ujengaji nyumba na umilikaji wa viwanja....Ebu nitajie hiyo 80% ya dar ambayo ni uswazi na hakuna lami??????? Tuanzie na kijichi au mbagala au buza au Tandale au madale au tua ngoma au kimbiji au tandika au manzese au charambe au chamazi ????? Ebu nitajie hiyo 80% ya uswazi ambako hakuna lami maana mimi nipo hapa dar tabata kinyerezi??????
 
Back
Top Bottom