Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza alone kuna miradi mingi na mikubwa kuliko mombasa, kisumu eldoret and nakuru combined na kama kuna mtu anabisha ajitokeze tu 😅😅😅
Hapo ni Mwanza tu .. hii nchi yetu Ina pesa bhana.. nchi inapiga hatua nyingi kwa wakati mmoja.. jamaa lilikua linaomba battle eti ya nje ya Dar na Nairobi 🤣🤣 nikamuuliza utawezana.? .. Mwanza alone Ina miradi mikubwa kuliko hata counties zao hata 5 combined
 
Akibisha tu ww nitag hapo hatujagusa barabara za tarura kila kona ya jiji 😁😁
 
Hapo ni Mwanza tu .. hii nchi yetu Ina pesa bhana.. nchi inapiga hatua nyingi kwa wakati mmoja.. jamaa lilikua linaomba battle eti ya nje ya Dar na Nairobi 🤣🤣 nikamuuliza utawezana.? .. Mwanza alone Ina miradi mikubwa kuliko hata counties zao hata 5 combined
Ujenzi wa chuo kikuu ardhi mwanza
 
Mwanza alone kuna miradi mingi na mikubwa kuliko mombasa, kisumu eldoret and nakuru combined na kama kuna mtu anabisha ajitokeze tu 😅😅😅
Hii miradi inazaidi ya miaka kumi tangia Uhuru anaingia madarakani. Vyote hivyo si vipya
 
Sio vipya kwani vimeisha au?? 😅😅😅 nimekwambia mwanza alone kuna miradi mingi na ghali kuliko mombasa, kisumu, eldoret and nakuru combined
Hio miradi ya muda wa miaka kumi nyuma, je tukiweka miradi ya Mombasa ya miaka hiyo hiyo mtawezana.
 
Ninapo kukumbusha kila mara kwamba wewe ni kichwa maji, usidhani ninakuonea. post yako niliyo reply umeonesha: Egypt, Iran na Algeria, ndio nikakuuliza uniambie nini wanaenda kufanya huko Egypt, Algeria an Iran.

Sasa umebadilika na kuja na Israel na China, pia umekosea. Hapo ni China tu.

Israel ndio walitusaidia kuanzisha Jeshi La Kujenga Taifa (JKT ), na mara baada ya kuvunja uhusiano wa kidiplomasia, hatukujihusisha nao kwa lolote na kawaida haiwezekani wanajeshi wetu kupelekwa huko kwa mafunzo na ni miaka hii ya karibuni tu ndio ubalozi wetu umefunguliwa tena huko Tel Aviv. Nipe jina la mwanajeshi aliyepata mafunzo Israel kuanzia mwaka 1980?
View attachment 2661784
Wewe ndio kichwa puto, nimekwambia jibu ni hili" mnawepekea Israel na China kufanya nini?
 
Back
Top Bottom