sikuwahi kufikiria kuwa mafanikio ya mtanzania diamond plutnumz yanawatesa sana wakenya kiasi cha kutoa povu jingi sana kuhusu product yake ya karanga iliyoanza kupatikana nchini kenya hivi karibuni.
nilidhani wenye wivu na mafanikio yake watakuwa ni watanzania pekee maana ni kawaida kwa nabii kutoungwa mkono na watu wake wa nyumbani.
last 3 month,jiji la dar es salaam lilipata ugeni wa kahaba wa kikenya kwa jina la hudda monroe...alikuja ku-promote sambamba na kutafuta soko la product zake zinazohusiana na masuala ya urembo kwa kina dada.
hatukuona mtz hata mmoja kwenye ma-social media akitoa povu kuhusu product za kahaba hudda nchini tz.alipata support ya kutosha.
leo hii tunapoona wakenya wa jf wakitoa povu kuhusu product ya diamond karanga kupatikana nchini kenya,inatufanya tuamini ile tafsiri yao kuhusu neno "aggressive" kama ilivyoulizwa na comrade
game over na kujibiwa na nyang'au mmoja.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
kwa hakika wakenya ni "uncooperative and hostile,ready to attack any tanzanian or any product owned by a tanzanian"..watu wa old stone age.[emoji23]