Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
nimeshawaambia hizo vitu hakuna mtu atanunua...enyewe Diamond amejienjoyThat karanga won't be successful in kenha
nimeshawaambia hizo vitu hakuna mtu atanunua...enyewe Diamond amejienjoyThat karanga won't be successful in kenha
nimeshawaambia hizo vitu hakuna mtu atanunua...enyewe Diamond amejienjoy![]()
![]()
Nairobi vs Dar es Salaam
Hii ni miji miwili mikubwa sana Agrica mashariki na Central Africa
Nairobi upo katikati ya nchi wakati Dar es Salaam ipo ufukweni wa bahari
Miji hii kwa pamoja ni mizuri sana kwa kuitazama kuliko miji mingine yote kiukanda huu
DAR ES SALAAM
ni mji wenye majengo marefu yalio mengi kuliko mji wowote ule katika ukanda huu. Huu mji unaweza kuwa na idadi ya majengo yaliozidi ghorofa 9 mara mbili ya yale yalioko NAIROBI.
Majengo ya mji huu yako karibukaribu kiasi kwamba yanafanya mji uonekane ni majengo tu. Barabara katika mji huu sio pana saana kulinganisha na nairobi. Lkn mji huu unavutia sana kwa kuwa na warembo na watu wengi sana.
Kwa muonekano ni kubwa na inajengwa kila mahara
DSM pictures
Kutokana na ukubwa wa majengo
Kkoo ndo kunamajengo mengi zaid then posta
POSTA
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
KARIAKOO
hii sehem ni ya biashara
Kila mda kunafoleni ya watu
Ndo sehem yrnye majengo mengi kuliko yote DSM![]()
![]()
![]()
![]()
UPANGA
![]()
![]()
Kwanini wanawakaribisha watalii kwenye hizo shitholes.NALIAMSHA DUDE:
types of photos they will never show us:
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bring the margins on the table.it's annoying to even compare an underdeveloped "city" of dar to Nairobi. That Kariakoo is not even half of umoja phase one estate.
Compare GDP
Think tanks
Multinational companies
Embassies
Roads
Estates
Planning
Airport
Academic institutions
Industries
Civilization
Urban lifestyle
Nairobi wins by big margins.
true...infact heri angejaribu margarines, milk products, perfumes, soft drink ama apparel etc...hizo karanga ma hustler wananunua zile za 5 bob kuchana...mapunk hawawezi nunua vitu za ujinga...his just chasing his own tailI haven't seen them in any Kenyan shop.even in the estates.....business isn't only some cheap pr where you hire people to poze and lie to us that you are making it big hahaha. E.g look at established businesses world over. ....they don't need to go on instagram with a snap shot of every "customer" they have.Tanzania is in a cold war with Kenya and I feel sorry for diamond's pet project of selling groundnuts to Kenya. He should think of value addition and produce peanut butter and not some cheap quick fix.
picha za dar zimeisha??😀😀😀😀😀 mmeanza sijui njugu karanga zilizoungua mara mbuga za wanyama,...which EA country doesnt hav national parks?🙄🙄🙄
mjinga mwingine atakuja hapa kucompare mghorofa eti ndio uzito wa cityit's annoying to even compare an underdeveloped "city" of dar to Nairobi. That Kariakoo is not even half of umoja phase one estate.
Compare GDP
Think tanks
Multinational companies
Embassies
Roads
Estates
Planning
Airport
Academic institutions
Industries
Civilization
Urban lifestyle
Nairobi wins by big margins.
mjinga mwingine atakuja hapa kucompare mghorofa eti ndio uzito wa city
city ni nyati na simba kama nairobi
.yaani unacheka peke yako...duh! there is nothing funny about that national park...it is unique...yaani hamna mji wowote ulio na national park duniani ispokuwa Nairobi...London wameanza juzi sarakasi hio![]()
![]()
![]()
city ni nyati na simba kama nairobi
![]()
![]()
.
Unique kwa mzungu asiyemjua tembo zaidi ya picha za vitabuni,kwa mimi mtz naona umechanganya vipindi yaani aidha wewe umevamia makazi ya wanyama ama wanyama wamekuja kukaa mjini palipotakiwa kujengwa majengo aliyosema nduguyo,majengo siyo city.yaani unacheka peke yako...duh! there is nothing funny about that national park...it is unique...yaani hamna mji wowote ulio na national park duniani ispokuwa Nairobi...London wameanza juzi sarakasi hio
Yur good at talkingit's annoying to even compare an underdeveloped "city" of dar to Nairobi. That Kariakoo is not even half of umoja phase one estate.
Compare GDP
Think tanks
Multinational companies
Embassies
Roads
Estates
Planning
Airport
Academic institutions
Industries
Civilization
Urban lifestyle
Nairobi wins by big margins.
Nairobi ni kadogo sanait's annoying to even compare an underdeveloped "city" of dar to Nairobi. That Kariakoo is not even half of umoja phase one estate.
Compare GDP
Think tanks
Multinational companies
Embassies
Roads
Estates
Planning
Airport
Academic institutions
Industries
Civilization
Urban lifestyle
Nairobi wins by big margins.
Nairobi ni kadogo sana
Hakuna sehem kama kariakoo uko
Usinifanye kama sijafika uko
.true...infact heri angejaribu margarines, milk products, perfumes, soft drink ama apparel etc...hizo karanga ma hustler wananunua zile za 5 bob kuchana...mapunk hawawezi nunua vitu za ujinga...his just chasing his own tail
.I am tired defending the obvious. ...Nairobi isn't perfect but probably the most developed city between Joburg and Cairo. Daresalaam to me is like Mombasa
the problem is that you think the national park is at the middle of the Nairobi CBD...that national park is not even near the CBD...its just some parts that have stretched and approached the CBD but it is perfectly situated outside the CBD for tourists who wish to get back to work quickly after a short safari.... tembea sio kukaa tu pale Manzese na kushika tama...Unique kwa mzungu asiyemjua tembo zaidi ya picha za vitabuni,kwa mimi mtz naona umechanganya vipindi yaani aidha wewe umevamia makazi ya wanyama ama wanyama wamekuja kukaa mjini palipotakiwa kujengwa majengo aliyosema nduguyo,majengo siyo city.