kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
wivu utakuuwa dogo.That karanga won't be successful in kenha

wivu utakuuwa dogo.That karanga won't be successful in kenha

nimeshawaambia hizo vitu hakuna mtu atanunua.
Yaone haya mashenzi yalivyojawa na wivu...aibu.I haven't seen them in any Kenyan shop.even in the estates.....business isn't only some cheap pr where you hire people to poze and lie to us that you are making it big hahaha. E.g look at established businesses world over. ....they don't need to go on instagram with a snap shot of every "customer" they have.Tanzania is in a cold war with Kenya and I feel sorry for diamond's pet project of selling groundnuts to Kenya. He should think of value addition and produce peanut butter and not some cheap quick fix.

iko hivi mdau,karibia charity organization zote zinazotoa huduma za kijamii katika slum za kenya zinaratibiwa au zinamilikiwa na wazungu.Kwanini wanawakaribisha watalii kwenye hizo shitholes.
Ni ujinga sana huo, its like they're proud of Kibera hawa majamaa.
Wazungu wanazidi kutuona mafara.
pumbavu wewe....wivu utakua...eti angejaribu this angejaribu that....kwa wivu wenu wa kijinga na roho mbaya mliyonayo,hata angejaribu kuunda glass za dhahabu za kunywea maji,bado mngelalama.true...infact heri angejaribu margarines, milk products, perfumes, soft drink ama apparel etc

usimpangie cha kujaribu.angejaribu energy drink

nilimjibu mwenzio aliepost reserves ya kenya alaf inaonesha diamond karanga inakunyima usingizi😀😀😀😀😀picha za dar zimeisha??😀😀😀😀😀 mmeanza sijui njugu karanga zilizoungua mara mbuga za wanyama,...which EA country doesnt hav national parks?🙄🙄🙄
we ulifkiri uzito wa city ni minara au????😀😀😀😀😀😀mjinga mwingine atakuja hapa kucompare mghorofa eti ndio uzito wa city
mwanza inayo national park tena 2km far from city center unabisha au???😀😀😀😀😀😀 aliekwambia hakuna mwambie akufundishe tena😛😛😛😛😛yaani unacheka peke yako...duh! there is nothing funny about that national park...it is unique...yaani hamna mji wowote ulio na national park duniani ispokuwa Nairobi...London wameanza juzi sarakasi hio
hahahaha nonsense 😀😀😀😀😀😀😀😀😀 kula ushibe ndio uzungumzeI am tired defending the obvious. ...Nairobi isn't perfect but probably the most developed city between Joburg and Cairo. Daresalaam to me is like Mombasa
Huu mpya utachukua 6M abiria uliopo wa sasa ni 3m abiria jumla 9m abiria
Viva Tanzania. Tutaelewana tu
i just like how this diamond karanga conversion is trending in here.....let's keep arguing more and more....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Chief naweza kukubaliana na wewe kwamba hizo karanga kwa ma hustler na watu wazima hawatazishobokea kiivyo,,lakini nakuhakikishia kwa watoto wadogo na hata wanafunzi watazilamba sana,na naamini hata watengenezaji walitarget soko la watoto kwani hata kwa huku Bongo hao ndo wateja wakuu,na unajua mtoto akishapenda kitu anavyokuwa king'ang'anizitrue...infact heri angejaribu margarines, milk products, perfumes, soft drink ama apparel etc...hizo karanga ma hustler wananunua zile za 5 bob kuchana...mapunk hawawezi nunua vitu za ujinga...his just chasing his own tail
Chief naweza kukubaliana na wewe kwamba hizo karanga kwa ma hustler na watu wazima hawatazishobokea kiivyo,,lakini nakuhakikishia kwa watoto wadogo na hata wanafunzi watazilamba sana,na naamini hata watengenezaji walitarget soko la watoto kwani hata kwa huku Bongo hao ndo wateja wakuu,na unajua mtoto akishapenda kitu anavyokuwa king'ang'anizitrue...infact heri angejaribu margarines, milk products, perfumes, soft drink ama apparel etc...hizo karanga ma hustler wananunua zile za 5 bob kuchana...mapunk hawawezi nunua vitu za ujinga...his just chasing his own tail
diamond karanga inawanyima usingizi wakenya...wanajiribu kuja na suggestions tofauti tofauti ili kudhihirisha chuki yao....wamesahau kuwa diamond ana product nyingine ya chibu perfume.nilimjibu mwenzio aliepost reserves ya kenya alaf inaonesha diamond karanga inakunyima usingizi😀😀😀😀😀

si useme tu product za kitanzania zinakupa hasira.l prefer karanga za hawkers. .....buy Kenyan build Kenya. Kenya tunaita kujenga hustlers

wanachojua wao ni kukosoa tu kwasababu diamond karanga ni bidhaa inayozalishwa Tz.Chief naweza kukubaliana na wewe kwamba hizo karanga kwa ma hustler na watu wazima hawatazishobokea kiivyo,,lakini nakuhakikishia kwa watoto wadogo na hata wanafunzi watazilamba sana,na naamini hata watengenezaji walitarget soko la watoto kwani hata kwa huku Bongo hao ndo wateja wakuu,na unajua mtoto akishapenda kitu anavyokuwa king'ang'anizi
Ushauri wangu kwako ni kwamba kama una mtoto/watoto tafadhali usijaribu kumuonjesha/kuwaonjesha.!
Maneno yakujifariji humu jamii forum...wewe ata usikae ununue milele wapo watakaokula na atapata fedha...That karanga won't be successful in kenha
Watanunua tu na wananunua andaa tangazo ukalilipie zisiuzwe Kenya. ...andaa kipindi ulipie kwenye national t.v. watu wasinunue izo karanga. ...unless otherwise watanunua na vijana watapata ajira vilevile...nimeshawaambia hizo vitu hakuna mtu atanunua...enyewe Diamond amejienjoy![]()
![]()