KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
.
asante kwa povu msee....ila punguza hasira...wahenga hunena "hasira hasara.lol...we know this desperate tactics of taking a photo of any useless thing. Diamond alipata watu watano na cameraman ndio apige rented people kama wameshika njugu yake.....pwahahaha. Mimi sijawahi ziona in any Kenyan shop honestly

Noway inabidi watengewe mahali za biashara CBD namna iyo hapanameanwhile...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
now trending: the view of nairobi CBD with mike sonko as a governor.
![]()
![]()
siasa za jubilee zinaenda kuharibu muenekano wa jiji la nairobi....ukute wakati wa kampeni za kutafuta ugavana,mike sonko aliwahadi hawkers (wamachinga) kuwa akishinda tu nafasi hiyo ataruhusu wafanye uchuuzi mitaa ya CBD.Noway inabidi watengewe mahali za biashara CBD namna iyo hapana

Daahsiasa za jubilee zinaenda kuharibu muenekano wa jiji la nairobi....ukute wakati wa kampeni za kutafuta ugavana,mike sonko aliwahadi hawkers (wamachinga) kuwa akishinda tu nafasi hiyo ataruhusu wafanye uchuuzi mitaa ya CBD.![]()

siasa nazichukia basi tuTHAT IS ILLEGALNaliamsha dude. Moi Avenue Nairobi CBD. Nishidaaa. Lol jiji limegeuzwa Kibera lote. Sonko fala sana....View attachment 623174
That karanga won't be successful in kenhameanwhile....
this is how diamond karanga is trending in kenya.
hawa ndio wale business minded kenyans,hawaangalii product imetoka nchi gani...maadam ina ubora na demand yake ni kubwa nchini kwao basi kazi huwa ni moja tu,kuchapa kazi ya kui-promote na kuhakikisha product hiyo inapata wateja wengi nchini kenya.
ooh my my i love these kenyans....hapa kazi tu...wale wakenya wenye wivu na chuki dhidi ya mafanikio ya diamond platnumz nendeni mkajirushe KICC.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
machokaraa na majobless wa kikenya waliopo hapa jf wakiona hii watazidi kupatwa na hasira na kuendelea kutoa povu...wivu ni kitu kibaya sana.![]()
![]()
How can you tell that!That karanga won't be successful in kenha
Selous game reserve