Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

#violence#
 
Nilihisi hivo
Aisee kumbe wewe ni katoto kabisa, Yani umemaliza form four mwaka jana, no wonder unaona 2003-2009 ni zamani sanaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mm ni uncle wako kumbe, anyways, karibu Dar, ofcourse miaka niliyokuwa nasoma mm pale Azania ilikuwa miongoni mwa shule bora hapa Tz ila kwa sasa ni ya kawaida sana, karibu kijana wangu, pia usome sana hii mitandao usiipe kipaumbele sana itakuharibu dogo.


Nimechaguliwa kujiunga na AZANIA SECONDARY SCHOOL A-LEVEL 2023 wanaoijua mnisaidie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…