Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mafuta ya alizeti sasa yameshaanza kufika sokoni vizuri!! Mimi nanunua 5liters kwa 24,000 hapa Dar es salaam. Nawaonea huruma wachuuzi kama kina MO soon mafuta imported yatakosa soko kabisa!

Mafuta ya alizeti ya wajasiriamli wadogo yako mengi sana!!
Ni kweli kabisa. Hata mimi nimenunua mafuta shelui 20,000/= lita 5.

Itabidi na wao washushe bei lasivyo yatawadodea au wawauzie Kenya hatuna baya siye [emoji41][emoji41]
 
Usijipe matumaini kabisa. Hizi hivyo mno, yaani bora zile za Korea. mbaya hizi bei ya behewa moja una nunua zile za Korea tatu, hapo zimepelekwa Germany kwa ukarabati zimekuja hivi.

huyu mama 2025 hatufai kwakweli.
Hizo bilevel zikiwa mpya bei yake inaweza kuwa zaidi ya zile behewa za kawaida ila hizo ni used zilikuwa zinatumika Germany na zimekuwa renovated by 85%. Gharama iliyotumika ni kama USD 20m behewa 30 na vichwa 2 piga hesabu zitakuwa zimegharinu kiasi gani?
 
Hizo bilevel zikiwa mpya bei yake inaweza kuwa zaidi ya zile behewa za kawaida ila hizo ni used zilikuwa zinatumika Germany na zimekuwa renovated by 85%. Gharama iliyotumika ni kama USD 20m behewa 30 na vichwa 2 piga hesabu zitakuwa zimegharinu kiasi gani?
Mkuu, hii gharama ya $20M kwa behewa 30 na vichwa viwili ni jumla pamoja na manunuzi au ni kukarabati tu?. Kama ni gharama yote, basi hakuna sababu ya kununua mpya toka Korea, hizi tutakua tumeokota Dodo chini ya mnazi.
 
Mechi zote zinaonyeshwa leo live mda mmoja.. kenya haya mambo watayafanya miaka 50 ijayo.. lbda azam aamue kuwekeza heavy saiz
20230609_135341.jpg
 
Show me even a single road in Tz with an interchange in the villages!
Unajenga interchange villages for which purpose ?? Ndio maana debt to GDP ratio inawatafuna nyama zenu kwa kujenga miradi haina tija kwa sasa kwenye uchumi wenu😅😅 unajenga interchange sehem itahitaji labda 50yrs to come alaf unajiita msomi serious?? Nchi haina hata pesa ya kulipa wafanyakazi
 
Back
Top Bottom