Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sokoine stadium mbeya
20230609_215254.jpg
20230609_215250.jpg
20230609_215244.jpg
 
Hizo bilevel zikiwa mpya bei yake inaweza kuwa zaidi ya zile behewa za kawaida ila hizo ni used zilikuwa zinatumika Germany na zimekuwa renovated by 85%. Gharama iliyotumika ni kama USD 20m behewa 30 na vichwa 2 piga hesabu zitakuwa zimegharinu kiasi gani?
Mimi nina mzuka wa kuona vichwa vyake viko vipi
 
"TRC itself said it had terminated the contract with Turkish company Eurowagon, which was repairing the wagons after failing to complete the construction of two electric train and 30 passenger carriages, for the test runs.
It said according to the agreement, the equipment was supposed to be completed in November 2021, but since Eurowagon failed to meet the terms of the contract, TRC terminated the contract worth 26.6 million Euros on February 25." ~ The Citizen.co.tz

Ile body ya wakurugenzi haikupigwa chini for nothing.

Baada ya Magufuli kufa, kuna ujinga mwingi sana uliendelea na hii contract waliovunja kwakua tu hao jamaa walikuwa wanafanya renovation ya nguvu sana sasa walipochelewa kwa sababu ya vifaa jamaa wakavunja na kupeleka kwingine kwaajili ya upigaji ndio unaona yamekuja hovyo.
Mkuu mbona sikuelewi?, nahisi Kama unalalamika Sana bila sababu za msingi. Sababu za kuvunja mkataba zimeelezwa wazi kwamba hilo kampuni lilishindwa kutekeleza kipengele Cha kumaliza kazi kwa wakati, Sasa hapo Kuna shida gani?.

Kuhusu hayo mabehewa yaliyoletwa, ulitaka yaweje mkuu?, Kwa hiyo bei ya $26M kwa mabehewa 30 ya ghorofa na vichwa viwili ni bei nzuri sanaaa, hakuna haja ya Kulalamika

1)Kila behewa linabeba watu 140, hii ni mara mbili ya hizi behewa mpya tunazotengeneza toka Korea

2)Wastani wa Kila behewa Moja la ghorofa lenye kubeba watu 140 ni $630K, wakati wastani wa gharama za behewa Moja toka Korea lenye kubeba watu 75 ni $850K. Ukipiga hesabu kwa idadi ya abiria, hii Ina maana kwamba behewa Moja la ghorofa gharama yake ni $315K vs $850K behewa za Korea.

Mkuu, kukosekana kwa TV na sehemu za kuchaji simu, ni mambo madogo Sana ukilinganisha na bei tuliyonunulia.
 
Na sehemu za TV zipo inaonekana bado hazijafungwa tu sio kwamba hazipo
 
Another World Record by Faith Kipyegon!!!!!!wow wow wow!!!!!…. 5000m….. she’s on 🔥 🔥!!!!
 
Kwakweli ukisoma comments unaona namna gani Wakundustani wamefarijika. Ni Habari njema sana kwao .
Decency in tanganyika is a big deal...what does calling another country's citizens with unprintables help you with. You all pretend to hate Kenya but chini ya maji you are all yearning to come to Kenya for better opportunities and deals...lol.Thats why your insecurities made you to start this thread and massage your sorry a*s*es ...haha.
 
After 15 yrs ago ndio hii kitu mumejenga

Tukisema ni white elephant munakasirika
your dodoma is 60 years old with nothing to show for......tuwache polepole....don't post me those desperate 5th world scale nonsense you are doing in your overrated dodoma village to waste my time..bye
 
Watanzania huwa mnachekesha sana. Kama hamna visingizio ndo tele. Kwaivo population yenu yote ipo dar ndo maana hamuitaji interchanges mwanza au arusha. Ukweli ni kuwa kwenye barabara mpo chini si la priority wala nini. Tutajengaje interchange kama haihitajiki??
Sasa hapo kijijini zimapita gari ngapi kwa siku?
 
Back
Top Bottom