utangoja ....heheheShow me even a single road in Tz with an interchange in the villages!
Show me even a single road in Tz with an interchange in the villages!
Leta proof ya ulichosema! Bei ya behewa moja ni tatu za Korea! Halafu hizo behewa zilikuwa Ujerumani na si zilipelekwa Ujerumani!
Sikiliza clip ya mahojiano ya TRC engineer Kimario anazungumizia hiyo bei kwenye hilo behewa na kuongeza kuhusu swala la moto.Leta proof ya ulichosema! Bei ya behewa moja ni tatu za Korea!
Halafu hizo behewa zilikuwa Ujerumani na si zilipelekwa Ujerumani!
"TRC itself said it had terminated the contract with Turkish company Eurowagon, which was repairing the wagons after failing to complete the construction of two electric train and 30 passenger carriages, for the test runs.Hizo bilevel zikiwa mpya bei yake inaweza kuwa zaidi ya zile behewa za kawaida ila hizo ni used zilikuwa zinatumika Germany na zimekuwa renovated by 85%. Gharama iliyotumika ni kama USD 20m behewa 30 na vichwa 2 piga hesabu zitakuwa zimegharinu kiasi gani?
We dont spend money meant for public projects haphazardly we set priorities and get value for money in each project unlike you guys mwanasiasa anaamua ajenge interchange kijijini kwake na hela apige so sad kujivunia upuuzi kama huu wakati people are dying of hunger.Show me even a single road in Tz with an interchange in the villages!
Ni jumla kununua na kutengeneza ila baada ya mkandarasi kuzingua walisema watatumia mkandarasi mwingine at free cost maana euro wagon alilipwa 35% kwaajili ya ku procure mabehewa na transfer of ownership to TRC , the rest nadhani ndio ya matengenezo.Mkuu, hii gharama ya $20M kwa behewa 30 na vichwa viwili ni jumla pamoja na manunuzi au ni kukarabati tu?. Kama ni gharama yote, basi hakuna sababu ya kununua mpya toka Korea, hizi tutakua tumeokota Dodo chini ya mnazi.
Watanzania huwa mnachekesha sana. Kama hamna visingizio ndo tele. Kwaivo population yenu yote ipo dar ndo maana hamuitaji interchanges mwanza au arusha. Ukweli ni kuwa kwenye barabara mpo chini si la priority wala nini. Tutajengaje interchange kama haihitajiki??We dont spend money meant for public projects haphazardly we set priorities and get value for money in each project unlike you guys mwanasiasa anaamua ajenge interchange kijijini kwake na hela apige so sad kujivunia upuuzi kama huu wakati people are dying of hunger.
back in the days ( college years), i was working in this building ( intern) ..Kenya has been elected into the prestigious UN Economic Council for a period of three years from 2024 January.
View attachment 2650378
Dom government city .. 🔥🔥🔥 mwaiofhawaii unaumia ukiwa wapi.? 👇. New city in the making
back in the days ( college years), i was working in this building ( intern) …..sorry I had to hide my face … I don’t trust Wabongo…🤣🤣… am on the left