Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mitaa ya kinondoni
images%20(1).jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dam ya hiyo bei ipo wapi hapo? Hivi ninyi mashakahola mtaibiwa mpaka lini? Kwanza supportive document ipo wapi?
Huyo achana naye, hana lolote analojua zaidi ya kujipiga kifua, serikali ya Kenya haina mradi wowote inayojenga kwa pesa zake wenye kuzidi $500M Ukiacha Lamu port. Hakuna dam yoyote hapa Afrika nzima iliyojengwa kwa kiasi hicho Cha pesa.
 
Back
Top Bottom