Hio dam moja inajengwa inagharimu zaidi ya $700m, na kuna zingine 5 zipo under construction. Hujui unachokizungumziaHii yote uliotaja hata thamani ya $ 50 million hakuna
. Alafu utaskia machizi mengine hapa wakisema proudly uchumi wa nigeria ni mkubwa on paperTunawekeza kwenye irrigation, na bado tunawekeza kwenye ujenziMbona mnakufa njaa kuleni ujenzi sasa. Mngewekeza kwenye kilimo irrigation schemes na the whole chain ya kilimo imgekuwa mmefanya uamuzi wa busara lakini sio railway city huu ni upuuzi wakati watu wanakufa njaa
Remmitances haisabiwi katika GDP, hivi huko kwenu elimu yenu ikoje?.Wanigeria wanatuma nyumbani hela zaidi ya budgets za nchini nyingi ukanda huu. Alafu utaskia machizi mengine hapa wakisema proudly uchumi wa nigeria ni mkubwa on paper
Africa's Largest Remittances (Money Sent Back Home by Citizens Abroad) in 2022
1. Egypt - $32 billion
2. Nigeria -$21 billion
3. Morocco - $10.75 billion
4. Ghana - $4.7 billion
5. Kenya - $4.027 billion
6. Tunisia -$3.044 billion
7. Senegal - $2.9 billion
8. Ethiopia - $2.5 billion
9. Algeria - $1.829 billion
10. Zimbabwe - $1.66 billion
11. Uganda - $1.1 billion
Njaa tangu 1963 hadi Leo bado mnawekeza kwenye irrigation?Tunawekeza kwenye irrigation, na bado tunawekeza kwenye ujenzi




Ndio hiyo mipango anayosema ana privy informationMuulize iko wapi hio railway city![]()




USD 700m dam si mngemaliza shida ya chakula huko shakahola countryHio dam moja inajengwa inagharimu zaidi ya $700m, na kuna zingine 5 zipo under construction. Hujui unachokizungumzia




Am talking about the impact. Unaimagine impact 21b inaweza have kwa economy yenyu?Remmitances haisabiwi katika GDP, hivi huko kwenu elimu yenu ikoje?.
1)What is GDP?
2)How GDP is calculated?.
GDP inaonekana kwa macho wewe mshakahola si rocket scienceWanigeria wanatuma nyumbani hela zaidi ya budgets za nchini nyingi ukanda huu. Alafu utaskia machizi mengine hapa wakisema proudly uchumi wa nigeria ni mkubwa on paper
Africa's Largest Remittances (Money Sent Back Home by Citizens Abroad) in 2022
1. Egypt - $32 billion
2. Nigeria -$21 billion
3. Morocco - $10.75 billion
4. Ghana - $4.7 billion
5. Kenya - $4.027 billion
6. Tunisia -$3.044 billion
7. Senegal - $2.9 billion
8. Ethiopia - $2.5 billion
9. Algeria - $1.829 billion
10. Zimbabwe - $1.66 billion
11. Uganda - $1.1 billion
Buda hii dam ipo under construction na inacost ksh 82b. Inaitwa thwake dam enda ujifanyie research kama nadanganya am done arguing na madwanziUSD 700m dam si mngemaliza shida ya chakula huko shakahola country
USD 700m on paper![]()
The last time I heard about building dams and irrigation schemes in Shakahola country was during Kibaki regime.Tunawekeza kwenye irrigation, na bado tunawekeza kwenye ujenzi
Impact gani wakati wao wako wengi kama kuku? Usiangalie hela nyingi bali angalia hiyo hela interms of per capita utakuta kenya wanapata remitances nyingi per capita kuliko Nigeria.Am talking about the impact. Unaimagine impact 21b inaweza have kwa economy yenyu?
Because you lack information. Dams nyingi zimeanza kujengwa in the last regimeThe last time I heard about building dams and irrigation schemes in Shakahola country was during Kibaki regime.
Kama umesoma vizuri "Economics", too much remmitances disturbs economy instead of improving economyAm talking about the impact. Unaimagine impact 21b inaweza have kwa economy yenyu?