Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buda hii dam ipo under construction na inacost ksh 82b. Inaitwa thwake dam enda ujifanyie research kama nadanganya am done arguing na madwanziView attachment 2649731
Kidunda dam way bigger than that pothole mara 2 na litazalisha mpaka megawatts 20 za umeme though it's main objective is to supply water Dar na kilimo litagharimu ksh 19 billion 😂😂😂😂 hivi ninyi mashakahola mtaibiwa mpaka lini?

 
Kuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea

Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation
View attachment 2649402

Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika

View attachment 2649409View attachment 2649408

Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa
View attachment 2649410
Na hii eldoret
View attachment 2649411

Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation
View attachment 2649414View attachment 2649415

Kuna miradi ya viwanja, affordable housing, konza na tatu cities etc. Alafu unaskia machizi hapa wakisema kenya haina miradi ya kimkakati kukomboa uchumi( whatever that means)
Duu Hadi makazi kwa Kenya ni miradi ya kitaifa huku bongo hiyo ni miradi ya halmashauri
 
Wanigeria wanatuma nyumbani hela zaidi ya budgets za nchini nyingi ukanda huu [emoji50]. Alafu utaskia machizi mengine hapa wakisema proudly uchumi wa nigeria ni mkubwa on paper


Africa's Largest Remittances (Money Sent Back Home by Citizens Abroad) in 2022

1. Egypt - $32 billion

2. Nigeria -$21 billion

3. Morocco - $10.75 billion

4. Ghana - $4.7 billion

5. Kenya - $4.027 billion

6. Tunisia -$3.044 billion

7. Senegal - $2.9 billion

8. Ethiopia - $2.5 billion

9. Algeria - $1.829 billion

10. Zimbabwe - $1.66 billion

11. Uganda - $1.1 billion
Duuu kwaiyo remittance ndo uchumi?
 
Huyo achana naye, hana lolote analojua zaidi ya kujipiga kifua, serikali ya Kenya haina mradi wowote inayojenga kwa pesa zake wenye kuzidi $500M Ukiacha Lamu port. Hakuna dam yoyote hapa Afrika nzima iliyojengwa kwa kiasi hicho Cha pesa.
Tatizo hawa mashakahola yanapenda kutajiwa figure kubwa lakini kwenye project realization ndio wanaanza kulia kilio cha samaki machozi kupotelea majini sababu pesa zinakua zishayeya 😂😂😂
 
Kagame na CoW yao wanaotaka kuifufua na kinashakahola haitawasaidia chochote

20230608_134723.jpg
 
Nyinyi ndio mnajenga sisi lipo design hilo

Arusha

Ninachoipenda Tanzania yaani Ni slowly but for sure [emoji1787] hatubahatishi mnawahi miradi sijui mnakimbizana na nani halafu inakuwa hasara kwenu kama sgr mna uoga sana [emoji1787]View attachment 2650223
Kwani hii Nissan ni model ya 1993😅
Utapata iliingia Dar port less than 3 yrs ago
 
Kwani hii Nissan ni model ya 1993[emoji28]
Utapata iliingia Dar port less than 3 yrs ago
Unadhani ni lile lenu linalovuja moshi ambalo viongozi wenu wamefanyia ufisadi hapo hapo [emoji1787] daah na wamejua kuwachezea


Nilikuwa kwenye forum flani hivi ya uchumi wazungu wanaliita "expensive decoration" [emoji1787] ndio limebakia kuwa hivyo hamna kitu pale
 
Back
Top Bottom