Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eastleigh is very fast turning out as a city within a city.
NHC is stating that, it has been approving at least 50 high-rise building projects of 16-20 per year for the last 4 years.
So currently, about 100 plus projects are under construction in Eastleigh making it the most active city construction zone in Africa.
View attachment 2649324View attachment 2649325View attachment 2649326View attachment 2649327View attachment 2649328View attachment 2649329View attachment 2649330View attachment 2649331View attachment 2649333View attachment 2649334
Kuna maalshabab kibao yamejificha humo. Ngoja yaanze kujitokeza tuone utakavyoanza kulia lia wewe mshakahola🤣🤣🤣
 
Pesa mnatoa wapi kutekeleza hiyo miradi wakati hata pesa ya kulipa salaries na kupeleka katika counties hazipo?, Wacha kudanganya watu, Kama Galana Kulalu hadi Leo mumeshindwa kupata pesa, hiyo yote unayosema ni maneno matupu, hakuna kitu mnaweza kufanya.
Kwaivo unabisha hizi miradi hazifanyiki au what's your point?
 
Subiri, yaani tuliza, hamuwezi elewa kwa sasa. Kuna mambo yaja. Si kwa mbali. Miaka mitatu ijayo. Najua nanyi mtakuwa na yenu. Lakini kulingana na mipango siri, ambayo kwa bahati naifahamu, Kenya is going to change completely, it is a phase like which Singapore underwent.

Najua huniamini Ichoboy ila si lazima uamini. Kama tu ulivyo kataa, Railway City, expressway, GTC Ndo hivyo.
I mentioned that a while ago while discussing DRC… am privy of inside details I can’t talk over here. When I said KDF ain’t leaving DRC , I meant it. Even DRC President knows it regardless of his internal political gamesmanship…. Reminds me of the Saudis officially criticizing US support of Israel to appease their masses but behind the scenes you know what goes on.. they eat on same table with same Jews…..There is an official think tank concept called Kenyanna …I will leave it at that… watch this space in the next 3 years… Njaa or no Njaa, Kenya is heading somewhere special under the watch of big players…No way the west is loosing Africa to China or Russia without a push…Kenya is their beacon of hope and democracy…and that road has DRC written on it…Rwanda and Uganda didn’t come back to the northern corridor as a coincidence… mambo yanafanyika kisiri siri.. Let me rest my case before I attract unwanted eyes and ears..🤣🤣
 
82ABA802-9212-4FD1-8C8B-CDA84B8C9A2D.jpeg
 
Kuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea

Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation
View attachment 2649402

Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika

View attachment 2649409View attachment 2649408

Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa
View attachment 2649410
Na hii eldoret
View attachment 2649411

Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation
View attachment 2649414View attachment 2649415

Kuna miradi ya viwanja, affordable housing, konza na tatu cities etc. Alafu unaskia machizi hapa wakisema kenya haina miradi ya kimkakati kukomboa uchumi( whatever that means)
Lamu imesaidia nn mpaka sasa so far ni white elephant?? 😅😅😅😅

Haya unajenga interchange eldoret wakat mahitaj yake ni 30yrs to come ndio umefanya nn ?? Hushangai kuona debt to GDP ratio inapumulia mashine ?? Munajenga miradi haina faida kwa taifa hvi sasa alaf uko hapa kuvimbisha mdomo, interchange ahero ina uhitaj gani sasa hvi ?? Ndio maana miradi yenu almost ni white elephant😅😅😅

Katika maendeleo uliotaja sijaona mradi hata mmoja unaoendelea mombasa zaidi ya ushuzi mtupu

Konza ipi au tatu city ipi unaongelea hapa ambazo zina over 15yrs old na ziko vile vile ? Na ukiangalia hata 1% of its render hazijafika
 
Kwaivo unabisha hizi miradi hazifanyiki au what's your point?
Kama Galana Kulalu, Laptop per child, 5 stadia, SGR to Malaba, Mombasa to Nairobi high way, Kimwererar dam na ukuta wa kutenganisha Kenya na Somalia vyote viliishia njiani, hata hiyo unayosema ni maneno matupu, hakuna kitu kitafanyika, Kenya ni nchi ya maneno matupu lakini hamna uwezo
 
Kuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea

Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation
View attachment 2649402

Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika

View attachment 2649409View attachment 2649408

Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa
View attachment 2649410
Na hii eldoret
View attachment 2649411

Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation
View attachment 2649414View attachment 2649415

Kuna miradi ya viwanja, affordable housing, konza na tatu cities etc. Alafu unaskia machizi hapa wakisema kenya haina miradi ya kimkakati kukomboa uchumi( whatever that means)
Hii yote uliotaja hata thamani ya $ 50 million hakuna
 
I mentioned that a while ago while discussing DRC… am privy of inside details I can’t talk over here. When I said KDF ain’t leaving DRC , I meant it. Even DRC President knows it regardless of his internal political gamesmanship…. Reminds me of the Saudis officially criticizing US support of Israel to appease their masses but behind the scenes you know what goes on.. they eat on same table with same Jews…..There is an official think tank concept called Kenyanna …I will leave it at that… watch this space in the next 3 years… Njaa or no Njaa, Kenya is heading somewhere special under the watch of big players…No way the west is loosing Africa to China or Russia without a push…Kenya is their beacon of hope and democracy…and that road has DRC written on it…Rwanda and Uganda didn’t come back to the northern corridor as a coincidence… mambo yanafanyika kisiri siri.. Let me rest my case before I attract unwanted eyes and ears..[emoji1787][emoji1787]
Hahaha, last kicks if a dying [emoji237], Kenya economy is crushing mazee, Tanzania is crushing your economy slowly,.

Rwanda can't even think about your Northern corridor, only Uganda is in dilemma because it had already compansented for land. KDF in DRC has been allowed only six months extension period to hand over to SADC troops, no one needs them in DRC
 
2 of the commandos from the KDF Army 30th Special Forces operating deep inside the eastern Congo villages….combat diplomats as they are known…. Working with the locals for Mutual understanding… na hawatoki huko for a forseable future…
Sasa Kama raia na serikali ya DRC hawataki KDF waendelee kubaki nchini mwao watalazimisha kubaki kwa nguvu?.
KDF hii sio mara ya kwanza kushindwa kufanya kazi na kukataliwa, walishindwa South Sudan na wakakataliwa na UN na kurudi Kenya. Mkiendelea kubaki mtashambuliwa na vikundi vyenye silaha vya huko DRC, hamtopata ushirikiao toka kwa raia.
 
Subiri, yaani tuliza, hamuwezi elewa kwa sasa. Kuna mambo yaja. Si kwa mbali. Miaka mitatu ijayo. Najua nanyi mtakuwa na yenu. Lakini kulingana na mipango siri, ambayo kwa bahati naifahamu, Kenya is going to change completely, it is a phase like which Singapore underwent.

Najua huniamini Ichoboy ila si lazima uamini. Kama tu ulivyo kataa, Railway City, expressway, GTC Ndo hivyo.
I dont expect anything apart from malls and residential estates[emoji16]
 
Back
Top Bottom