Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The double decker train coaches for TRC are looking good. Congratulations the Southerners. We are just about to hit you also strongly very soon. Sooner even before you start using them.
But all heartedly, congrats
Cc NairobiWalker and Teargass mtakufa kwa roho mbaya mwaka huu

My take: kama kitu kizuri sifia ujipange siku moja na wewe uwe nacho hata kama itachukua karne.
 
Subiri, yaani tuliza, hamuwezi elewa kwa sasa. Kuna mambo yaja. Si kwa mbali. Miaka mitatu ijayo. Najua nanyi mtakuwa na yenu. Lakini kulingana na mipango siri, ambayo kwa bahati naifahamu, Kenya is going to change completely, it is a phase like which Singapore underwent.

Najua huniamini Ichoboy ila si lazima uamini. Kama tu ulivyo kataa, Railway City, expressway, GTC Ndo hivyo.
Nyinyi munajua siri kweli kwa munavopenda mpaka sifa za uongo 😅😅😅

Where is railway city ??? Hio expresswah ya mchina ni another white elephant ndio maana unaona mchina ataweka kwato zake over 30 good yrs akikusanya pesa zake na ujiulize after 30yrs hio expressway itakua kwenye hali gani??

Talking of GTC owned by chinnese kwa 100% serious??😅😅😅😅

Muna project gani nyinyi hvi sasa tunavoongea ??? Nitajie moja tu
 
Subiri, yaani tuliza, hamuwezi elewa kwa sasa. Kuna mambo yaja. Si kwa mbali. Miaka mitatu ijayo. Najua nanyi mtakuwa na yenu. Lakini kulingana na mipango siri, ambayo kwa bahati naifahamu, Kenya is going to change completely, it is a phase like which Singapore underwent.

Najua huniamini Ichoboy ila si lazima uamini. Kama tu ulivyo kataa, Railway City, expressway, GTC Ndo hivyo.
Kutoka "Tuna reli ya kisasa isiyopatikana East Africa"

Mpaka "Tuoneshe 1cm of SGR"

and now "Tuna mambo yetu ya siri soon mtaona"

My take: Tanzania hoyeeeeeeee
 
Eastleigh is very fast turning out as a city within a city.
NHC is stating that, it has been approving at least 50 high-rise building projects of 16-20 per year for the last 4 years.
So currently, about 100 plus projects are under construction in Eastleigh making it the most active city construction zone in Africa.
View attachment 2649324View attachment 2649325View attachment 2649326View attachment 2649327View attachment 2649328View attachment 2649329View attachment 2649330View attachment 2649331View attachment 2649333View attachment 2649334
Hvi nyinyi munatuchukuliaje ziko wapi hzo 100 projects hapo😅😅😅😅

Au munahisi hatuijui nairobi au??

Ona nae huyu anashangilia hebu hesabu hzo green nets tuone hata 10 zinafika😁😁
Look at the number of green nets in this pic View attachment 2649370
 
Eastleigh is very fast turning out as a city within a city.
NHC is stating that, it has been approving at least 50 high-rise building projects of 16-20 per year for the last 4 years.
So currently, about 100 plus projects are under construction in Eastleigh making it the most active city construction zone in Africa.
View attachment 2649324View attachment 2649325View attachment 2649326View attachment 2649327View attachment 2649328View attachment 2649329View attachment 2649330View attachment 2649331View attachment 2649333View attachment 2649334
In Africa?

Hiv ushawahi fika Dodoma?
Eti construction zone

Ila wakenya...
 
Hii ndio tofauti ya Tz na Kenya, tunafanya miradi ya maana ya kutukomboa zaidi kiuchumi nyie bado mnashangilia neti, kwa mwendo huu tutawatawala kwa mingi ijayo.
Wacha udwanzi, ujenzi hautukomboi kiuchumi?? Alafu miradi ipi hio mnafanya sisi hatufanyi?
 
Ujenzi wa bwawa kubwa la kuzalisha umeme wa bei nafuu.

Ujenzi wa reli inayotumia umeme Ili kupunguza kuagiza mafuta toka nje ambayo hutumia zaidi ya 40% ya imports za nchi.

Ujenzi wa mifumo mikubwa ya umwagiliaji maji mashambani.
 
Kumekuwa na ukaribu kati ya UAE na viongozi wetu wakuu Zanzibar na serikali kuu.Hili linaweza kukupuzia umakini kwa kuwa unaona kama ndugu Yako wakati mwenzio yupo serious kuchukua hela kwako.Nadhani viongozi wetu wakiacha kuwatazama Hawa jamaa kwa mlengo huo watakua makini na wanchojadili.Haya ndio source mikataba Ile ya mwarabu wa sijui loliondo.Kuwa na salamu inayofanani sio kigezo Cha biashara
Kabisa ,
 
Kuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea

Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation
nhKlwcL_d.jpg

Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika

YIVO3NS_d.jpg
download (6).jpg

Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa
download (14).jpg

Na hii eldoret
download%20(21).jpg

Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation
download (15).jpg
download (16).jpg

Kuna miradi ya viwanja, affordable housing, konza na tatu cities etc. Alafu unaskia machizi hapa wakisema kenya haina miradi ya kimkakati kukomboa uchumi( whatever that means)
 
Kuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea

Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation
View attachment 2649402

Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika

View attachment 2649409View attachment 2649408

Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa
View attachment 2649410
Na hii eldoret
View attachment 2649411

Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation
View attachment 2649414View attachment 2649415

Pesa mnatoa wapi kutekeleza hiyo miradi wakati hata pesa ya kulipa salaries na kupeleka katika counties hazipo?, Wacha kudanganya watu, Kama Galana Kulalu hadi Leo mumeshindwa kupata pesa, hiyo yote unayosema ni maneno matupu, hakuna kitu mnaweza kufanya.
 
Kuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea

Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation
View attachment 2649402

Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika

View attachment 2649409View attachment 2649408

Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa
View attachment 2649410
Na hii eldoret
View attachment 2649411

Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation
View attachment 2649414View attachment 2649415

Kuna miradi ya viwanja, affordable housing, konza na tatu cities etc. Alafu unaskia machizi hapa wakisema kenya haina miradi ya kimkakati kukomboa uchumi( whatever that means)
Wewe ni kichaa...
 
Back
Top Bottom