The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527



namna hioUnaweza kuvivuta kwa namna yoyote Ile.
Kwakutumia kichwa chake original
Kwakutumia kichwa kingine chochote cha umeme
Au bichwa lolote la mafuta
View attachment 2648752View attachment 2648760
Tushatoka huko kwenye mambo ya ubabaishaji mzee, hayo mambo tumeziachia nchi maskini kama Burundi, Congo, Kenya na Somalia.Unaweza kuvivuta kwa namna yoyote Ile.
Kwakutumia kichwa chake original
Kwakutumia kichwa kingine chochote cha umeme
Au bichwa lolote la mafuta
View attachment 2648752View attachment 2648760
Mashakahola hii ni mimba ya mapacha sasa tunasubiri joka la kusukuma hii kitu, huu ni mchomozo wa giant 💖Hapo ilipo sio behewa zote zimekuja kwenye 30 zimekuja 6 tu bado usiwe na waswas kaka 😅😅
View attachment 2648335
View attachment 2648352
dunia hiI haina haki kabisa nawakumbusha tu
third class in tz
View attachment 2648504View attachment 2648502
1st class in kenya
View attachment 2648503



Mauaji yatakayotokea shakahola ni zaidi ya Rwanda.
Hata mkisalimu amri sisi tutaendelea kupiga kwenye mshono mana mlitaka wenyewe vita na taifa kubwa zaidi yenu kiuchumi. Hapa chini nimeweka na picha za extended canopyView attachment 2648853View attachment 2648854View attachment 2648855View attachment 2648856View attachment 2648857View attachment 2648858View attachment 2648859View attachment 2648860View attachment 2648861
Nyie mashakahola mnapenda kufurahia habari za uongo uongo tu.Miaka 100. Port kauzwa.

Kama render mwanangu 😘😘🇹🇿🔥🔥👉🇰🇪👉💩💩
Wakenya lazima wakimbie mana hii ni hatari.









