Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio washaanza mbona wanajenga sinohydro wiki ya pili sasa na wanakwenda kasi balaa itaungana na karume na mandela road

Itaungana na Msimbazi pia inatoboa inaunga na Lumumba na Biti Titi pale mnazi mmoja na kuelekea Kwame Nkrumah road na kuungana na Nyerere road na Msimbazi street tena na bandari road Kipande cha kuelekea Mbagala kupitia daraja kali pale Kamata.
 
Makosa yaliyofanywa na Ukraine kuipa Urusi kuendesha bandari zake ndio haya.Kwanza ni kosa kubwa sana kutoa milango mikuu ya uchumi kwa wageni.Siungi mkono kwa namna yoyote ile
Mawazo ya kijima na ya kijamaa,nioneshe sehemu yeyote ambayo imeandikwa mkataba ni miaka 100.

Pili Ina faida gani kujipiga kifua Kwa vimaneno vya kupaka rangi eti milango mikuu ya uchumi yet hakuna faida unaipata?

Kuna yule alipeleka wanajeshi na kijaz Tiss plus ziara za kushtukiza hapo bandarini,vipi Kuna Ufanisi ulitokea? Hao Tiss na Wanajeshi kwani ni malaika hawaipendi hela? Harafu ukishakuwa mtumishi wa Umma ,Mali ya Umma inakuwa ni shamba la bibi huwezi kukomaa kama Ukiwa private na Wala huwezi wakaba Watumishi wenzio wa Umma Kwa hivyo maana watakuondoa fasta..

Sasa kuliko kuwa na inefficiency na bureaucracy za kindezi ni kubinafsisha,si ajabu tumejaza mashirika ambayo hayana faida hapa Tanzania Kwa vijimaneno hivyo hivyo vya sijui usalama and such meaningless blaa blaa..
 
Wanalima sana tu hasa kule kagera....lakin inatoroshwa Uganda kwa sababu ya sera mbovu za ununuzi wa kahawa...na wingi wa madalali katika kilimo....

Kagera inazalisha zaidi ya nusu ya kahawa yote nchiniView attachment 2648227

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Uganda hakuna madalali? Ni akili za Kijamaa ndizo zinaweza kuondoa madalali na ndio sababu biashara nyingi zinakufa..

Huwezi kwepa intermediaries kwenye soko na infact hakuna mkulima anataka aanze sijui kusafirisha akatafute storage akatozwe huko barabarani tozo Kodi ushuru na upuuzi kama huo ndio amfikie mlaji,hiyo ndio kazi ya middlemen.
 
Mimi sio mtu wa hobby za magari ila hii chuma nimeikubali sana huko Chaka Fulani noma sana Kwa kufanyia adventure..

Ni V8(Piston 8)
Suspension zake ziko comfortable sana,gas powered
Tairi Pana Zenye balance nzuri
Ina shower(hot & cold)
Tent lenye godoro watu wa 3 wanalala,
Ina solar panel hapo,ndani Ina lithium battery kubwa
Ina Camera 2 ya mbele na nyuma na zinaweza rekodi umbali Hadi wa mita 100,
Ina freezer 2,mbele na nyuma
Ina vitu vyote vya kitchen kuanzia cooker,meza,viti nk ,
Wareless charger,radio call,Taa za chini na pembeni gari ilipata break down usikuwa Wala huwazi nk
IMG_20230606_161954_145.jpg
IMG_20230606_161950_824.jpg
IMG_20230606_111842_052.jpg
IMG_20230606_111910_203.jpg
IMG_20230606_113522_488.jpg
IMG_20230606_113915_325.jpg


Kiufupi makoloko yake nUnaweza
sema ni nyumba inayotembea..

Bei ni pesa kidogo tuu mil.350 hivi
 
Mimi sio mtu wa hobby za magari ila hii chuma nimeikubali sana huko Chaka Fulani noma sana Kwa kufanyia adventure..

Ni V8(Piston 8)
Suspension zake ziko comfortable sana,gas powered
Tairi Pana Zenye balance nzuri
Ina shower(hot & cold)
Tent lenye godoro watu wa 3 wanalala,
Ina solar panel hapo,ndani Ina lithium battery kubwa
Ina Camera 2 ya mbele na nyuma na zinaweza rekodi umbali Hadi wa mita 100,
Ina freezer 2,mbele na nyuma
Ina vitu vyote vya kitchen kuanzia cooker,meza,viti nk ,
Wareless charger,radio call,Taa za chini na pembeni gari ilipata break down usikuwa Wala huwazi nk View attachment 2649056View attachment 2649058View attachment 2649059View attachment 2649060View attachment 2649061View attachment 2649062

Kiufupi makoloko yake nUnaweza
sema ni nyumba inayotembea..

Bei ni pesa kidogo tuu mil.350 hivi
Hiyo ni Landcruiser 79 series na kwa kawaida huwa zinakuja kama pickup za double cab. Ukiona kakidirisha hapo kwenye bonet ujue ina injini ya single turbo V8 diesel inaitwa 1vd kama ile ya kwenye V8 za viongozi hapa TZ japo zenyewe zina turbo mbili.

Ila kwa hapo wanazifanyia customization na kuweka canopy na hizo amenities kwa ajili ya adventure.

Soko kubwa la kufanyia customs za namna hiyo huwa ni Australia na kwa Afrika kuna South afrika na Namibia n.k
 
Back
Top Bottom