Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ni Landcruiser 79 series na kwa kawaida huwa zinakuja kama pickup za double cab. Ukiona kakidirisha hapo kwenye bonet ujue ina injini ya single turbo V8 diesel inaitwa 1vd kama ile ya kwenye V8 za viongozi hapa TZ japo zenyewe zina turbo mbili.

Ila kwa hapo wanazifanyia customization na kuweka canopy na hizo amenities kwa ajili ya adventure.

Soko kubwa la kufanyia customs za namna hiyo huwa ni Australia na kwa Afrika kuna South afrika na Namibia n.k
Hii chuma nimeikubalia sana Kwa shughuli za Chaka,nilikuwa nayo Chaka Moja yaani ni 🔥🔥🔥

Hapa ni kutafuta pesa tuu kuvuta,mzungu Huwa hataki shida kabisa
 
Aftermarket exhaust ya inchi 3 ndio huwa mwisho wa matatizo, muungurumo wa Simba wa 3 kwa wakati mmoja🔥🔥🔥.
Ngoja niishie hapa nisije nikaharibu uzi mashakahola wapate mda wa kurekax.
Sio vizuri kutiana wazimu msije tujaza upepe tukawa Mafisadi Bure 😁😁
 
Hawa walisema wanapesa wanaweza kuagiza mahindi toka Mexico, vipi wananyanyasika hivi?

Mashakahola majanja kweli, naona wanaongea kwa tahadhari ya hali ya juu 😂😂😂 husikii wakishutumu serikali ya Tanzania kabisa iliowazuia hapo

Wao wanaishutumu serikali yao kwa kosa lisilowahusu na wamezuia barabara yao na wanataka viongozi wao ndio waje kuwasikiliza 😂😂😂

Kweli anaekulisha anakutawala, Tanzania wanaiogopa kama ukoma 😂😂😂
 
I know we had the Mashakahola incident, but please Majirani explain what the freaking in the name is this?….Ati Bibi amerogwa for cheating..🤣🤣View attachment 2649087
E0E58AD6-F636-4A95-AF64-2FC12816FA5F.jpeg
 
Uzushi hakuna sehemu yeyote Kuna miaka 100
Unauhakika gani?
Hivi vitu ni 50/50

Kuna agenda ya maadhimio iliyopitishwa na bunge wakajichanganya kuiweka kwenye website ya bunge ,
Wananchi tulipoonza kulizungumzia ikafutwa chap,nilitaka kuiscreen shot kwa bahati mbaya nikachelewa kurudi nakuta ngoma ishafutwa
 
Kumekuwa na ukaribu kati ya UAE na viongozi wetu wakuu Zanzibar na serikali kuu.Hili linaweza kukupuzia umakini kwa kuwa unaona kama ndugu Yako wakati mwenzio yupo serious kuchukua hela kwako.Nadhani viongozi wetu wakiacha kuwatazama Hawa jamaa kwa mlengo huo watakua makini na wanchojadili.Haya ndio source mikataba Ile ya mwarabu wa sijui loliondo.Kuwa na salamu inayofanani sio kigezo Cha biashara
 
Unauhakika gani?
Hivi vitu ni 50/50

Kuna agenda ya maadhimio iliyopitishwa na bunge wakajichanganya kuiweka kwenye website ya bunge ,
Wananchi tulipoonza kulizungumzia ikafutwa chap,nilitaka kuiscreen shot kwa bahati mbaya nikachelewa kurudi nakuta ngoma ishafutwa
Sawa
 
Back
Top Bottom