Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi kubwa kivipi?
Kama coffee imeingiza 230,kwanini wakulima waliolima wasiambiwe walime Mara 4 zaidi?
Bado ni shida mifumo ya masoko bado haijakaa sawa madalali uchwara bado wako wengi na pia prices ziko chini sana kwa wakulima haziwapi motivation ya kuongeza acreage. Pia mfumo wa upatikanaji wa pembejeo na miundombinu ya umwagiliaji inabidi iimarishwe kisawasawa ndio tutaona mabadiliko makubwa. Agriculture inauwezo wa kuchangia USD 15 -20 bn every year kwenye uchumi wa TZ.
 
Tatizo no muundo wa vichwa watavyovileta.Ilitakiwa hayo mabehewa yaje na vichwa yake lakin nahisi Walter vichwa Ambayo havilingani kimuundo na hayo mabehewa.
Only third class ndio inaweza kuwa hivyo.

Second class, hizi za double Decker zina aina yake ya vichwa kaka. First class ni EMUs ambazo huwa na vichwa vyake.
 
Hii double decker nina mashaka kama wataleta vichwa halisi vya hii treni.Kama wana lengo Hilo,kwanini havijaja na hizo behewa?
Hapo ilipo sio behewa zote zimekuja kwenye 30 zimekuja 6 tu bado usiwe na waswas kaka 😅😅
20230606_215724.jpg

20230606_220710.jpg
 
Wanalima sana tu hasa kule kagera....lakin inatoroshwa Uganda kwa sababu ya sera mbovu za ununuzi wa kahawa...na wingi wa madalali katika kilimo....

Kagera inazalisha zaidi ya nusu ya kahawa yote nchiniView attachment 2648227

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwa kifupi hakuna uongozi. Kama wanashindwa kuwasupervise madalali,kitu gani wataweza? Kuendesha port ya Dar Imekua shida hadi wanampa mwarabu,tena miaka 100. Hoijakaa sawa. Inamaana kizazi kijacho kitakuja kufukua makaburi yetu na kutupima kama tulikuwa binadamu kamili au Mafisi
 
Kiukweli miaka mingi sana. Sijui wanazingatia nini?
 
Kiukweli miaka mingi sana. Sijui wanazingatia nini?
Unauliza wanazingatia Nini. Wanazingatia upigaji na kuja Nchi kwa mwarabu. Wanaacha kuisimamia bandari kwa makusudi,alafu wanajifanya kutafuta mwekezaji. Yote hayo ilimradi mwarabu ale jasho la mtanzania. Na mwarabu na udini na ubaguzi! Mmmh,huruma sana.
Mmehangaika weeeee kupanua bandari, alafu majinga fulani kutoka Nchi kame huko yanakuja Kula burebure
 
Wanalima sana tu hasa kule kagera....lakin inatoroshwa Uganda kwa sababu ya sera mbovu za ununuzi wa kahawa...na wingi wa madalali katika kilimo....

Kagera inazalisha zaidi ya nusu ya kahawa yote nchiniView attachment 2648227

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Uko sahihi, hilo jambo kuna project tuliifanya hakika tulikumbana na huu mchezo
 
#HABARI Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imewataka Watanzania kupuuza taarifa za upotoshaji zinazofanywa kwa makusudi na watu wenye nia ovu zinazodai kwamba serikali imepanga kuipa kampuni ya DP World ya Falme ya Dubai kandarasi ya uendeshaji wa shughuli za Bandari ya Dar es Salaam kwa muda wa miaka 100.

TPA imefafanua azimio la Bunge linahusu mkataba ambao serikali inaingia na serikali ya Dubai wenye ukomo wa miezi 12 kwa ajili ya kutoa nafasi kujadiliana kuhusu maeneo ambayo nchi hizo zinaweza kushirikiana katika uboreshaji na uendelezaji wa sekta ya bandari nchini Tanzania.

Ushirikiano wa nchi hizo mbili una lengo la kuongeza ufanisi wa huduma za bandari nchini, kukuza ajira za Watanzania na kufungua fursa za kiuchumi na kijamii kupitia uwekezaji kwenye baadhi ya maeneo ya bandari ya Dar es Salaam, maeneo huru ya kiuchumi na viwanda.

#EastAfricaRadio
FB_IMG_1686086237159.jpg
 
Back
Top Bottom