Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo cash crops kama coffee, tea, sisal, cloves, pyrethrum, tobacco na horticultural products kila moja zinatakiwa ziingize USD 1bn each itakuwa powa sana lakini kazi kubwa inabidi ifanyike.
Hata zikifika target ya 400 to 500m usd each bado ni hatua nzuri sana na pia ukiangalia tanzania inazalisha mazao menginsana
 
Kwani wakenya bado wapo??😅😅😅😅
20230606_191801.jpg
20230606_191803.jpg
20230606_191805.jpg

Hizo cash crops kama coffee, tea, sisal, cloves, pyrethrum, tobacco na horticultural products kila moja zinatakiwa ziingize USD 1bn each itakuwa powa sana lakini kazi kubwa inabidi ifanyike.
kipindi cha kuanzia miaka 80 kwenda nyuma Tanzania ilikuwa inaongoza ulimaji kahawa kabla ya Brazil na Colombia kuingia kwenye kilimo cha kahawa!
 
CHADEMA Kama kawaida Yao, wameanza kupinga.
Kipindi Magufuli alivyokataa mradi wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo kutokana na vigezo vya mikataba ikiwemo mda wapinzani walipiga sana kelele akiwemo zitto leo tumekubali bandari iboreshwe wameanza kelele tena wakitumia kigezo hicho hicho cha mda bandari itakuwa chini ya usimamizi

Sasa nashindwa kuwaelewa wapo pande gani

Ccm katika nchi hii imetuletea matatizo chungu, nzima imetuchelewesha sana maendeleo yetu na siipendi Abadan .......Lakini licha ya hilo kamwe sitakaa niwaamini upinzani hao ndio zaidi ya nyoka nafuu na ccm wakipewa shavu wananyamaza wanang'ata kwa kupuliza
 
Hii habari, nilianza kusikia jana.. nilitaka kuuliza humu nikaona ngoja nisubir kidogo kwanza
Nasubir kusikia comments za design hii 'wapewe tu maana TPA hamna kitu kule. Kwanza wamenicheleweshea kutoa gari yangu zaid ya mwaka sasa'

Makosa yaliyofanywa na Ukraine kuipa Urusi kuendesha bandari zake ndio haya.Kwanza ni kosa kubwa sana kutoa milango mikuu ya uchumi kwa wageni.Siungi mkono kwa namna yoyote ile
 
Hizo cash crops kama coffee, tea, sisal, cloves, pyrethrum, tobacco na horticultural products kila moja zinatakiwa ziingize USD 1bn each itakuwa powa sana lakini kazi kubwa inabidi ifanyike.
Kazi kubwa kivipi?
Kama coffee imeingiza 230,kwanini wakulima waliolima wasiambiwe walime Mara 4 zaidi?
 
Kazi kubwa kivipi?
Kama coffee imeingiza 230,kwanini wakulima waliolima wasiambiwe walime Mara 4 zaidi?
Wanalima sana tu hasa kule kagera....lakin inatoroshwa Uganda kwa sababu ya sera mbovu za ununuzi wa kahawa...na wingi wa madalali katika kilimo....

Kagera inazalisha zaidi ya nusu ya kahawa yote nchini
Screenshot%20(20210905-121047).jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom