ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Who is Edgar bwire in the Kenyan government!?
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Who is Edgar bwire in the Kenyan government!?
Hongera mkuu, ni maneno mazuri ya kujipa moyo![]()





Mbona asichaguliwe singida big stars achaguliwe Simba? Nafasi za African Super League zina reflect club strength kwenye ukanda husika na sio kuombewa mezani huo ndio ukweli mchunguAfrican super league ni chaguo wanafanya tu sio kwamba wanaangalia sana ubora wa team sio kweli na bahat nzuri yanga wameombewa nafas pia![]()

From 75 to 21 mzee its not a joke ๐ ๐ ๐
Kwani takwimu si zinaongea mkuu au nimekosea kitu?
CAF ranking Simba 35 points Yanga 21 points.
Position Simba 8 Yanga 21
Sasa ukishafika hapo ndio unasonga mdogo mdogo kwa kuchekechana na wababe wengine maana nao hawaangushi point kirahisi. Hopefully one day tutakuwa na timu 2 mpaka 3 kwenye CAF top 10.From 75 to 21 mzee its not a joke![]()
Ukishindwa kushindana naye ungana nayeSasa ukishafika hapo ndio unasonga mdogo mdogo kwa kuchekechana na wababe wengine maana nao hawaangushi point kirahisi. Hopefully one day tutakuwa na timu 2 mpaka 3 kwenye CAF top 10.




![]()
![]()
![]()
Kazi iendelee!!
Eti kazi iendelee, hawaoni hata soniInaonesha namna gani mlivyo waoga na msiojiamini
Imebidi muende kufuta legacy?
Mloganzila JPM alimpa sifa zake Kikwete, saivi ni husda na shoyo!
View attachment 2647067



๐ ushabiki umezidi,Yanga sio Timu ya Taifa
Inaonesha namna gani mlivyo waoga na msiojiamini ๐ฎ
Imebidi muende kufuta legacy?
Mloganzila JPM alimpa sifa zake Kikwete, saivi ni husda na choyo! ๐ฎ
View attachment 2647067
Eti kazi iendelee, hawaoni hata soni![]()
Mi sina kinyongo na mafanikio ya Yanga ila hii ya kutumia ndege za ATCL kwaaajili ya ligi za ndani, haiko sawa.Yanga ilipofika wanastahili kupongezwa wamefanya kitu kikubwa sana na pamona na fitna za waarabu lakini wametoka na ushindi na kuonesha mpira wa high standards kwa kweli anastahili kuwapongeza na tanzania kwa ujumla yanga imekua tishio kwa team nyingi africa hasa kwa waarabu wanaojifanya ni smart kuliko wengine hebu tupongeze kwa mafanikio makubwa sana na mkumbuke final kama hzi zinaangaliwa na watu wengi sana duniani hvo ni kichocheo cha utalii pia
Go go tanzania ๐๐๐๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
100%Sasa mkuu kwa pesa gani wanazotumia Yanga, hiyo mi benz wanayonunuliana huko utafananisha na vijisenti vinavyotumiwa, lkn pia hili suala litachochea Ari na wivu wa kimaendeleo kwa timu pinzani za Yanga ili wajuwe kwamba ukifanya vzr utakula mema ya nchi. Wacha Yanga waoneshe mfano wengine watakaza sana next time japo inauma ila watazoea mana hata mm ingeniuma sanaa![]()






Ahsante kwa taarifa kama hizi nikipata muda nitaifuatilia hii habariSomething big on drawing table View attachment 2646708

