Fainali iliofika simba sio kombe hili ieleweke ndio maana CAF wenyewe wanasema kua ndio team ya kwanza tanzania kufika fainal kombe hiliMi sina kinyongo na mafanikio ya Yanga ila hii ya kutumia ndege za ATCL kwaaajili ya ligi za ndani, haiko sawa.
Hata hivyo, Simba tulishafika fainali mwaka 1993, kuna jitu lilikuwa linaitwa Lizozo lilitufanyia kitu mbaya sana Taifa.
Kwahiyo kombe la kagame ama tusker sio kombe la club bingwa afrika mashariki?Fainali iliofika simba sio kombe hili ieleweke ndio maana CAF wenyewe wanasema kua ndio team ya kwanza tanzania kufika fainal kombe hili
Na fainal ya simba ni kombe la abiola sio la shirikisho ieleweke kidogo hapo
Alaf mama katoa ndege kwenda mbeya ni kwa ajili ya wito wa ikulu imetatiza ratiba ya yanga ndio maana katoa ndege
![]()
![]()
![]()
Kazi iendelee!!
Wanaanza kulaumiana sasa 😅😅😅
We mshabiki wa simba nini 😅😅😅😅Kwahiyo kombe la kagame ama tusker sio kombe la club bingwa afrika mashariki?
Wew umetumia maneno simple tu 'kali sana".. angekuwa jiran.. hivyo vimumishi (adjectives) vyake tungejuta.. i'm sure maneno kama 'the most beautiful country in Africa' yasingekosekanaUfukoni StreetKali sana .
Hapa si agha Khan karibu na daraja la TanzaniteWapi hii.
Duh kama ulaya mwanangu





