Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

joto la jiwe lakini husikii nchi za asia zikiwekea vikwazo vya aina yoyote ila ni africa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Huko ndiko wanakosea lakini sio huku Africa, Kama ni kelele zipigwe kwa USA kushindwa kuingilia nchi za Asia kwa kuwa na sheria kandamizi, lakini sio kwa kuziadhibu nchi za Africa na Carrebian.

Yaani USA ipo sahihi kwa kuziadhibu nchi zenye sheria kandamizi, na inafanya makosa kwa kushindwa kuziadhibu nchi zenye sheria kandamizi.

Tunapaswa kuipigia kelele na kuwashinikiza USA waende kuwaadhibu hao waarabu, lakini hatupaswi kuwalalamikia Marekani wasituadhibu kwasababu tu waarabu bado hawajahadhibiwa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha, hii ndio maana halisi ya kuwa "brainwashed". Mkuu hakuna kitu Kama hicho, hata wanaamini Sayansi pia wanaamini kwamba 'Nature ndio Alfa na Omega.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa uelewa wako mkuu unaona kabisa Nature ikachagua mwanadamu awe na akili atawale viumbe vyote sio , aka evolve , nini tungeweza ku control Death basi au tuchague kuzaliwa [emoji23]
 
Mmarekani ana bias ndo ujue kwmaba hata yeye ni mpuuzi
 
Let me ask you , ushawai kushuhudia any un natural event ? Ukishuhudia ndo utajua , niambie kwanini watu wanakuta wachawi wameanguka kwenye mapaa asubuhi , anapata na majanga ambayo yako so un natural una explain hiyo ni forces zipi ?
 
Hawa wajinga wacha wadondoke ili wajue baba ni nani hapa EA.
 
Let me ask you , ushawai kushuhudia any un natural event ? Ukishuhudia ndo utajua , niambie kwanini watu wanakuta wachawi wameanguka kwenye mapaa asubuhi , anapata na majanga ambayo yako so un natural una explain hiyo ni forces zipi ?
Uchawi tena?..... Mkuu uchawi ni nini?... tunaomba ushahidi kuthibitisha kuwepo kwa uchawi.





Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Embu rudini Kwenye lengo la uzi maana sijawahi ona ubishani kuhusu dini na hizo pigo za elejibitikiu zikiisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…