spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
ndinda ni striker wetu hapa kenyaforum,kwa hakika tunajivunia.
wakati sisi wengine huwa tuna-upload picha toka katika vyanzo vingine,yeye hu-upload picha zake mwenyewe ambazo ana hatimiliki nazo.
jamaa huingia mitaani na kupiga picha kali za jiji la dar ambazo huwezi kuzipata sehemu nyingine yoyote ila kwake tu.
Ndinda aka Kilingoland


