Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

78 hio ya ndotoni na mutaota kweli kweli safari hiii😀😀😀😀😀😀😀😀
Usiwe muoga na mvivu Wa kusoma, fungua hio link nimekupa. It's just a couple lines down. Macho hayatachomeka ukisoma
 
East african giants
IMG_0566.JPG
 
Usiwe muoga na mvivu Wa kusoma, fungua hio link nimekupa. It's just a couple lines down. Macho hayatachomeka ukisoma
Hahha uliko wewe nishatoka zamani ndio maana hua nawaambieni kua kupika data za uchumi ni kujiongezea dhiki ya umaskini na ndio maana leo hii unashuhudia ukali wa maisha kenya ni mkubwa sana kuliko nchi yoyote ukanda wa africa mashariki 😀😀😀😀

Maana huwez kuniambia muna uchumi wa 70b GDP alaf unemployment rate is about 40% 😛😛 vitu vingine havihitaji nguvu ni akili tu

Kenya’s Unemployment Rate Hits 39.1 Percent

Yani unemployment kenya inaongoza duniani hahaha
 
Gah, strawman. so you want to unearth skeletons. Good, how about this

The UNDP and world bank updated the poverty line to $1.9/day.
What Are Poverty Lines?

This means poverty in Tz is at a whooping 70% Wah!
Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges

Yani kila waTz kumi unaona, saba ni hohehahe
 
waache hawa wasee bro...wataku attack na ujinga na porojo...wamezoea hio sana.
crazy.gif
crazy.gif
crazy.gif
.wanakuja wote kupambana na mkenya wote nikama ni vita...lol! .
storm.gif
storm.gif
storm.gif
storm.gif
storm.gif
storm.gif
 
Gah, strawman. so you want to unearth skeletons. Good, how about this

The UNDP and world bank updated the poverty line to $1.9/day.
What Are Poverty Lines?

This means poverty in Tz is at a whooping 70% Wah!
Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges

Yani kila waTz kumi unaona, saba ni hohehahe
Yani unaniletea link ya 2007 serious??????😀😀😀
Leo tuko 2017 hahahhahaha aise kweli vyuma vimekaza na jibu lako ni rahisi sana hili hapa😛😛😛

Na hii ndio tofaut ya umaskini na ufukara😀😀
IMG_0620.jpg

IMG_0621.jpg
 
I hate this thread. It just propels hate on each others. Nairobi be proud of Dar and the same viceversa. Long live EAC
true...kila ninapokuja hapa hali ni hii...mapambano kila upande
storm.gif
storm.gif
storm.gif
storm.gif
storm.gif

Amakweli wakenya na wabongo hawawezi wakapatana
 
Back
Top Bottom